Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
Mdogo wangu nimekumiss [emoji4][emoji4]
😘 dada makazi mengi.. kaisari anatuchosha 😓😓Mdogo wangu nimekumiss [emoji4][emoji4]
Tumepishana siku moja [emoji4]
Agost 13!!
[emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji173][emoji173][emoji173][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Kuna watu mnapendana hadi raha naisikia mimi.
Picha ya tatu hii nakudai piemuni
Habari wapendwa
Shimba Ya Buyenze Mshana Jr mtu chake mahondaw Foxhound Karma Saint Anne Hornet Heaven Sent Gregory 2000 moudgulf T 1990 ELY billdrago Lizzy Khantwe rukia16 Mjep cocastic Depal na wadau wote wa selfika.
Napenda kuwakaribisha katika mkesha/shughuli ya arobain/hitima Ya mpendwa/marehemu baba yangu,,,,,,,itakayofanyika kesho tarehe 5/2/2022 kuanzia saa 1 asubuhi mpaka saa 8 mchana.karibuni sana
Location;mbinga
Saturday vibeSatadei [emoji126]
View attachment 2108768
Thanks rafiki kwa upendo ila huko ni mbali kidogo Lakini tutaona uwezekano[emoji1545]Habari wapendwa
Shimba Ya Buyenze Mshana Jr mtu chake mahondaw Foxhound Karma Saint Anne Hornet Heaven Sent Gregory 2000 moudgulf T 1990 ELY billdrago Lizzy Khantwe rukia16 Mjep cocastic Depal na wadau wote wa selfika.
Napenda kuwakaribisha katika mkesha/shughuli ya arobain/hitima Ya mpendwa/marehemu baba yangu,,,,,,,itakayofanyika kesho tarehe 5/2/2022 kuanzia saa 1 asubuhi mpaka saa 8 mchana.karibuni sana
Location;mbinga
Ma mtumishi Kesho jioni mrejesho wa hizi mbiliView attachment 2108822View attachment 2108823
Nitakustua usiwaze bila uwepo wako sitapost hadi ukuje!Saa ngapi nisije kupitwa jamani? Au utanishtua basi kabla ya kupost[emoji23][emoji23][emoji23]
Nitakustua usiwaze bila uwepo wako sitapost hadi ukuje!
Nakuaminia [emoji106]Watu weuweeeeee. Ngoja nikuandalie kitu