Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,548
- 88,539
Pole sana mdogo wangu ndiyo ukubwa huo [emoji1][emoji1][emoji8] dada makazi mengi.. kaisari anatuchosha [emoji29][emoji29]
Pole sana mdogo wangu ndiyo ukubwa huo [emoji1][emoji1][emoji8] dada makazi mengi.. kaisari anatuchosha [emoji29][emoji29]
😭😭😭😭😭Pole sana mdogo wangu ndiyo ukubwa huo [emoji1][emoji1]
12 [emoji846][emoji846]wewe tarehe ngapi
Nikiwa mkubwa nataka niishi maisha kama hayoAsante Nkamu Gwangu
Mweeeh[emoji2356][emoji23][emoji23][emoji23]Nkamu tatizo unalala sana
Oyaa dada'ke! Upaja huo unatutoa kwenye reli![emoji2365][emoji2365][emoji2365]
Asante mwaya.Habari wapendwa
Shimba Ya Buyenze Mshana Jr mtu chake mahondaw Foxhound Karma Saint Anne Hornet Heaven Sent Gregory 2000 moudgulf T 1990 ELY billdrago Lizzy Khantwe rukia16 Mjep cocastic Depal na wadau wote wa selfika.
Napenda kuwakaribisha katika mkesha/shughuli ya arobain/hitima Ya mpendwa/marehemu baba yangu,,,,,,,itakayofanyika kesho tarehe 5/2/2022 kuanzia saa 1 asubuhi mpaka saa 8 mchana.karibuni sana
Location;mbinga
Admirer wewe 12 au 14??Tumepishana siku moja [emoji4]
Nikiwa mkubwa nataka niishi maisha kama hayo
Amen[emoji3059][emoji120]yanawezekana kabisa kikubwa olewa na rafiki yako, Ndoa utaifurahia