Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,561
- 23,991
wooii
hujalala Kalumbu?
wooii
kalumbu namsubiri boss wangu![]()
anatoka kazini kalumbu....mimi niko ubungo yy anatokea mwengeha ha ha anatokea wapi Me ndo kwanza wangu yupo Chalinze




kalumbu mapenz magumu kuliko maisha



anatoka kazini kalumbu....mimi niko ubungo yy anatokea mwengekalumbu mapenz magumu kuliko maisha
![]()

ngoja tuwasubiri hakuna namnaEeeh, wonders shall never cease!😅Mbona mdogo![]()
hakuna namna kalumbu.....ila nimenuna sanaKweli Kalumbungoja tuwasubiri hakuna namna
hakuna namna kalumbu.....ila nimenuna sana


nimecheka sasa unanuna ninikalumbu send off....nna wivu mkali sana nimefura kwa hasira ingawa toka kaenda huko ni video call mwanzo mwisho ila imani sina....nimecheka sasa unanuna nini




nifanyajekalumbu send off....nna wivu mkali sana nimefura kwa hasira ingawa toka kaenda huko ni video call mwanzo mwisho ila imani sina....nifanyaje
Mwaka gani hii mkuu, it looks like yo getting younger, sie wengine miaka miwili tu kupita ndevu zimeshapata greyish.
Mwaka gani hii mkuu, it looks like yo getting younger, sie wengine miaka miwili tu kupita ndevu zimeshapata greyish.
Noted...Uwiii Kalumbu usiwe hivyo jamani ni bora usiwe unamruhusu
Oohh..Ilikua 13/08/2021
siku yangu ya kuzaliwa
Oohh..
Hongera sana, you still gat it
Leo umedumu sana hapa.
kalumbu send off....nna wivu mkali sana nimefura kwa hasira ingawa toka kaenda huko ni video call mwanzo mwisho ila imani sina....nifanyaje
Kalumbu maana yake nini wakuu ?Kalumbu jibu lako lipo kama bado umenuna![]()
Aisee....Oohh..
Hongera sana, you still gat it
Leo umedumu sana hapa.
hahahahaha serious nimenuna....mambo ya kimasihara kila ukiwaza unaona haiwezekani akapona huko...Kalumbu jibu lako lipo kama bado umenuna![]()




