cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,466
- 188,306
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Njaa hadi unatetema[emoji8]View attachment 2107492
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Njaa hadi unatetema[emoji8]View attachment 2107492
Kipusa. [emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Ooooh ahsante sana mlongo, na poleeh kwa kuondokewa na baba, [emoji24][emoji24]Habari wapendwa
Shimba Ya Buyenze Mshana Jr mtu chake mahondaw Foxhound Karma Saint Anne Hornet Heaven Sent Gregory 2000 moudgulf T 1990 ELY billdrago Lizzy Khantwe rukia16 Mjep cocastic Depal na wadau wote wa selfika.
Napenda kuwakaribisha katika mkesha/shughuli ya arobain/hitima Ya mpendwa/marehemu baba yangu,,,,,,,itakayofanyika kesho tarehe 5/2/2022 kuanzia saa 1 asubuhi mpaka saa 8 mchana.karibuni sana
Location;mbinga
Hiyo meza nimeielewa sana, [emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590][emoji3590]View attachment 2108288
Movie time
Tuje kwenye movie ni gani hiyo?
Maada unaielewa sio mbaya.hata sijui mi napoteza muda tu hapa namsubiri Boss wangu
Maada unaielewa sio mbaya.
Pole kwa kumngojea boss mpaka sasa,and hongera pia.
Sorry bei gan? Huenda naweza afford, hata ulikonunua unawza nipeleka,[emoji1545][emoji1545][emoji1545]Mkuu
[emoji120]ha ha ha asantee
Unawweza km hiyo? Plz kuwa serious eti?Nikutengenezee?
Bei gan?Yaa tena serious yaan
Aseeeh yaan na mie nataka hivyo hivyo yaan. [emoji7][emoji7][emoji7]Tulinunua kwa Salometsyi My Dear
Aseeeh yaan na mie nataka hivyo hivyo yaan. [emoji7][emoji7][emoji7]
Unawweza km hiyo? Plz kuwa serious eti?
Tofauti isizidi sana lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uamini[emoji23][emoji23]
kutoa kama hivyo kabisaa ni ngumu kubali tu itakua tofauti kidogo
Ahsanteh dear.mtafute Salomestyi dear au muone huyo Pendael hapo.
Ngoja ntakuchek PM.220000 kwa upande wangu naweza