Tunapata oksijeni toka kwenye miti na mimea, lakini kwa kasi ya ukataji miti na mimea irafika mahali oksijeni itauzwa kama bidhaa na ndio watu watagutuka na kuanza kupanda miti[emoji25]
acha uwe na body nzuri, mimi hapo hizo sijui ni maandazi au kalmati zingekua nne[emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akaaah sitaki mie. Hadi mbavu zinauma lol
Zinashawishi kweli 🥴acha uwe na body nzuri, mimi hapo hizo sijui ni maandazi au kalmati zingekua nne[emoji3]
Tule tu nkamu, mbinguni tutapewa miili mipya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Salama, nkajua umeshusha kitu Cha kusindikiza lunch.Humu ndani mpoooo??? Habari za uzima![emoji113]
🤣🤣🤣🤣 Saivi Nimepumzika kidogo!Salama, nkajua umeshusha kitu Cha kusindikiza lunch.