Selfika na JF: Snap it. Show it

Nadhani jaribu haliwi jaribu hadi limekufikisha njia panda.

"Mwisho akaona njaa"

Shetani huwa anatafuta kukutarget mahala ambapo lazima utaingia njiapanda.
Mara baada ya Yesu kumaliza mfungo na alipoona njaa ndipo shetani akaona ni muda mzuri wa yeye kumjaribu Kristo.


Alishinda kwa sababu aligundua mitego ya shetani,
Pia alijaza Neno la Mungu kwake,
Pia alinyenyekea...angekuwa mwingine basi angejaa na kujiinua maana tayari ameambiwa ni mwana wa Mungu ..basi angesema kweli mimi mwana wa Mungu mbona kazi ndogo hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…