Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,009
- 177,312
Jumamosi ikawe ya kheri na baraka rafikiKapicha basi nataka nipotee kidogo si unajua tena leo jumamosi![]()
Jumamosi ikawe ya kheri na baraka rafikiKapicha basi nataka nipotee kidogo si unajua tena leo jumamosi![]()
At least mjitahidi 75%Mwanamke akiwa na furaha, mwanaume anaenjoy sana.Ndio maana wanaume tunaambiwa tujitahidi kuwafanya wanawake wawe watu wa furaha mda wote, of course haiwezekani lakini...!
nami nasubiri jibuSijui dia niambie wewe mwanasaikolojia!
amenJumamosi ikawe ya kheri na baraka rafikiView attachment 2099199
Kumbe mnasubiria jibu..hahahaha nami nawatelekeza.jibu sitoinami nasubiri jibu
Hakika nimecheka Kwa sauti kubwa mnoo…eti mbulula!!umenikumbusha mbali mno
Kabisa kabisa aiseCheka na kufurahi uongeze siku za kuishi mpenzi!🤩😘😘
🤪🤪🤪Vibaya hivoo!😜
😀😀😀 sawaJumamosi ikawe ya kheri na baraka rafikiView attachment 2099199
raha sana mkuu.. poa tutaonana jumatatu nimetekwa tayari twaenda zetu bagamoyo sasa 😊😊😊mnakimbizana na totoz ufukweni
Mbona Kinyonge hivo injinia!!??😀😀😀 sawa
yote maisha, mie sina noma 😢😢Mbona Kinyonge hivo injinia!!??
kila la kheri huko bagamoyo injinia! Enjoy life ✌️✌️yote maisha, mie sina noma 😢😢
fanya yako mkuu,ukitekwa tuliaraha sana mkuu.. poa tutaonana jumatatu nimetekwa tayari twaenda zetu bagamoyo sasa 😊😊😊
twende ununio .dynasty tukale upepo na sisikila la kheri huko bagamoyo injinia! Enjoy life ✌️✌️
haya ndo mambo sasa.nakupitiaLol unipitie hom rafiki make nipo tu leo!
....Huku Hali ya hewa sio rafiki kabisa so narudi kulala mpaka saa 6 mchana! Muwe na weekend njema wapendwa!View attachment 2099226
wewe tu na ratiba yakoBadae lakini saivi narudi kitandani ujipange tukifika tunalala hukohuko kurudi jumapili jioniiii!😜😜!
Tunajitahidi..At least mjitahidi 75%
Mkuu tuambie umeona nini....