Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,835
Umebania sana nkamu. Achia mwili wote huku chini pulizi [emoji1545]View attachment 2098988
Sendoff thing
Umebania sana nkamu. Achia mwili wote huku chini pulizi [emoji1545]View attachment 2098988
Sendoff thing
Halafu mbona sioni pete [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]View attachment 2098988
Sendoff thing
Nilitaka niseme, nashukuru umewakilisha.Umebania sana nkamu. Achia mwili wote huku chini pulizi [emoji1545]
Umebania sana nkamu. Achia mwili wote huku chini pulizi [emoji1545]
Sasa ndo vizuri hakuna watu wengi...wee next time[emoji1787][emoji1787]
Halafu linatokea boya huko eti oooh hakuna Mnyaki mweupe. Mpaka unatamani ulidabue makofi yaani...Uwiiii [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji8][emoji8][emoji8]View attachment 2098992
huo ulikua mkono wa kulia huu ndo wa kushoto
Dah! Pole sana.Lakini hii simu inachonifanyia mwenzenuView attachment 2098993
Duuuh mbona kazi ninayoDah! Pole sana.
Itabidi ufanye ku-clear cache na data zote halafu ulogin upya. Mimi huwa nafanya hivyo hiyo hali ikinitokea na mambo hurudi kama kawaida.
Umepitwa mno dah mpaka nakuonea huruma yaani
Pole sana mkuuLakini hii simu inachonifanyia mwenzenuView attachment 2098993
Ahsante mkuuPole sana mkuu
Sasa ndo vizuri hakuna watu wengi...
Achia nkamu
Lakini hii simu inachonifanyia mwenzenuView attachment 2098993
Nenda kwenye settings => apps => Jf => Storage => Clear data halafu rudi kwenye App yenyewe ya JF sasa. Itakuambia ulogin upya na mara nyingi tatizo lako litakuwa limekwisha.Duuuh mbona kazi ninayo
Hapana, huwa inanitokea mara nyingiNadhani nilikua nishaifuta
Halafu linatokea boya huko eti oooh hakuna Mnyaki mweupe. Mpaka unatamani ulidabue makofi yaani...Uwiiii [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji8][emoji8][emoji8]
Tuko mtu kama tatu tu hapa...dah!ha ha ha ha wee
Hapana, huwa inanitokea mara nyingi
Unairudia ile uliyoikata sana au niuchape usingizi tu?Toka nakua watu wengi wanasema mimi Muarusha, siku hizi nakubali tu
Na sisi wazee wa chabo tunazengea kiaina [emoji2960]Tuko mtu kama tatu tu hapa...dah!