Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😳😳😳😳mbona mnaenda mbali nyie watu aise..
Simjui huyo masta aise.

Nilisema kichwa kimejaa(chako mahondaw Kwa furaha) kwakuwa aliposema mbinu za kutuokoa zote anazo..hivyo tu sikuwa na maana nyingine
Eeh Cha Mahondaw tena??? Trobaa!😳 Mi hapo najiokoa mwenyewe si nishakwambia najitoa muhanga kwa mbinu za kimafia!! Naanza kujitoa mimi automatic mtu chake atakurukia wewe mtadondoka na kuvuringita weee utanikuta upo juu ya kifua chake Anakuachaje kirahisi wewe kipenzi chake kwa mfano!
 
Sijasikia nime experience 😳😳😜!

1643436636272.png
 
Back
Top Bottom