Brian Spilner
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 2,034
- 6,038
Sema nimeshakujulia, kila nikitaka baraka zako nitahakikisha mkono mtupu haulambwi. Nitatia chombezo kama la leo.
Sema nimeshakujulia, kila nikitaka baraka zako nitahakikisha mkono mtupu haulambwi. Nitatia chombezo kama la leo.
Eeh Roho yupo wa kutosha tuMama Pasta samahani, mara tatu kwa siku shemejiyo!? Mama una roho wakutosha? Maana ikifika mara ya 3 roho akiwa hajatoshea utabadili muktadha.
Kwa kweli mwanangu; mkono mtupu haulambwiSema nimeshakujulia, kila nikitaka baraka zako nitahakikisha mkono mtupu haulambwi. Nitatia chombezo kama la leo.
Oooh hallelujah..Eeh Roho yupo wa kutosha tu
Hakika mama Pasta.Kwa kweli mwanangu; mkono mtupu haulambwi
Dzonga si SA mkuuYezziR, dzonga mkuu
! Basi tu leo nina furaha kweli kweli! Huwa situmi hapo hapo!yani nitume dakika 5 nitume Tena hapana!Sema nimeshakujulia, kila nikitaka baraka zako nitahakikisha mkono mtupu haulambwi. Nitatia chombezo kama la leo.


Mwanamke akiwa na furaha, mwanaume anaenjoy sana.! Basi tu leo nina furaha kweli kweli! Huwa situmi hapo hapo!yani nitume dakika 5 nitume Tena hapana!

Ndio maana wanaume tunaambiwa tujitahidi kuwafanya wanawake wawe watu wa furaha mda wote, of course haiwezekani lakini...!Eti ehh! Inapendeza sana!Mwanamke akiwa na furaha, mwanaume anaenjoy sana.Ndio maana wanaume tunaambiwa tujitahidi kuwafanya wanawake wawe watu wa furaha mda wote, of course haiwezekani lakini...!
Okay, inakua rahisi kwa waviziaji sio..! Basi tu leo nina furaha kweli kweli! Huwa situmi hapo hapo!yani nitume dakika 5 nitume Tena hapana!
! Mulemulee unakopendaga mwenyewe patamu hapoo!





yeaaaaah shos ndo mambo yangu hayooo. Okay, inakua rahisi kwa waviziaji sio..
Sema ulichokula leo ulage icho icho mkuu, tunaihitaji sana hiyo furaha yako mkuu..