donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,257
- 22,131
Proud to be back home even if for just a day. Missed my mom's breakfast 


😂😂 Mdogo wangu usinichekeshe asubuhi yote hii..ungejua Nina umbo Kama kombe la dunia ..Basi tu..
Vema sanaSanaaa ..nikiamua kutumia muda muda kumchunguza mtu..lazima nimpate japo asilimia 50
Hii ilikuwa ni weakness yangu kubwa sana miaka ileee nikiwa bado kijana (mapenzi)Comment zako hazikaagi mbali na hisia za mapenzi mbalizi![]()

Hakusema mpera, alisema ukapande .....mti....Jamani ona na wewe eti . kweli Mtu mzima wa kupanda juu ya mpera kweli??








Yameishakook siwezi kubisha
Wasukuma kwa wanawake wanene mnainjoigi nini Shimba maanaGuu guu ng'wanawane. Bagosha!![]()


siye vimbaumbau km mwiko wa pilau mnatuona km mwichiinini kikufanye uanze kuniogopa?Kwani si tuna ambiwa hakuna mkate mgumu mbele ya chai ila we mtu nimeaza kukuogopa ghafla
Mimi ndo sijamissiwa mkwe?Mmewamiss balaa!wazima nyote@mahondaw mshepu@heaven sent mnyamwezi@St.Anna kaslim@Lizzy mzungu@Chakoriii@Karma mnyaki@Binamu simara@Syb@cocastic@relief na wengineo weengii humu![]()
Mngh!Niringe. Sina mia mbovu hapa![]()