Brian Spilner
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 2,123
- 6,207
Ndomaana nataka mkae wote hapa. Me siwashindwi unajua..[emoji3][emoji3]Wee unaenda Wapi sasa! Mimi nakuunganishia unazingua tena!!! Tulia hapohapo kijana nishamset anakuja
Ndomaana nataka mkae wote hapa. Me siwashindwi unajua..[emoji3][emoji3]Wee unaenda Wapi sasa! Mimi nakuunganishia unazingua tena!!! Tulia hapohapo kijana nishamset anakuja
Kwa mwandiko wako wakati mwingine jinsi ulivyo 😀😀inasadifu Kwa kweliHii ilikuwa ni weakness yangu kubwa sana miaka ileee nikiwa bado kijana (mapenzi)[emoji3]
Tumekumiss pia Reymage mpenzi💕💕Mmewamiss balaa!wazima nyote@mahondaw mshepu@heaven sent mnyamwezi@St.Anna kaslim@Lizzy mzungu@Chakoriii@Karma mnyaki@Binamu simara@Syb@cocastic@relief na wengineo weengii humu[emoji7][emoji8][emoji848][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8]
Mimi unanihusishaje hapo sasa??? Cocastic ndie anaekuhitaji bana!Ndomaana nataka mkae wote hapa. Me siwashindwi unajua..[emoji3][emoji3]
Inaelekea anapenda vitu vizito🤔Wasukuma kwa wanawake wanene mnainjoigi nini Shimba maana[emoji1][emoji1][emoji1]siye vimbaumbau km mwiko wa pilau mnatuona km mwichii
Kwanini ucheke Kwa sauti sasa😁😁😁[emoji38][emoji38]nimecheka kwa sauti
Poa kipenzi mzima!!mambo
Teenaa! Hapo unazingua sasa!🚶🚶🚶🚶🚶Na mimi nawahitaji nyote
Nimefurahi[emoji2]Kwanini ucheke Kwa sauti sasa[emoji16][emoji16][emoji16]
😘😘😘Ndiyooooooh kipendhiiii, mtu na umbo lako mjini, ringa bhana bahati ya watu wachache hiyoooo [emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Hebu hukooooo…anafaa kuliwa bila mboga eeh
Labda utoe pili-pili kidogo 🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haswaaaaah yaan ukimtazama tyuuh unashiba kabisaa.
Mbona bongaaa tena.kutazama vipi? mie nauliza anafaa kuliwa bila bongaaa 🙄🙄🙄
Ni furaha yangu kuona umefurahiNimefurahi[emoji2]
Hivi ulimalizia ile mada yako😋😋😋😋
Tena wewe ndio saana maana umeniita kijana mara mbili [emoji3][emoji3].Teenaa! Hapo unazingua sasa![emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
mada gani tena 😊😊Hivi ulimalizia ile mada yako
Qutee [emoji7][emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mzuie huyo asikimbie