Ingetokea tuhahahaha,isingetokea hy picha
Weka picha tupunguze maswalihahahaha.ungepunguza maswali humu. Hv ujiji km kawa au umefunga?
kesho natupia nikate kiu ya marafiki zanguWow..aise hongera bhana Kwa kumfahamu.
Sisi wengine tunaishia kusoma tabia kupitia miandiko tu
mtu chake ufanye basi tutambuane japo sura
Usipotupia nikufanye nini🥺🥺kesho natupia nikate kiu ya marafiki zangu
Tungeyajua hayo mbele ya safiriingekua auto focus.blur
Usiku mwema nasinziamaswali km yapi?
Nilifunga. Sipo Dar nakaribia mwaka sasahahahaha.ungepunguza maswali humu. Hv ujiji km kawa au umefunga?
Hazina madhara.Ki
buti kinakuhusu







ok.uko wapi siku hz ?mkoani au ughaibuniNilifunga. Sipo Dar nakaribia mwaka sasa
Basi zilinipita dah!Nishaweka nyingi sana msukuma...






Daddy itabidi unifundishe kisukuma..haiwezekani nishindwe kuelewa baadhi ya manenoGuu guu ng'wanawane. Bagosha!![]()
Mkoani tuok.uko wapi siku hz ?mkoani au ughaibuni
Haina shida. Na mimi ni mwalimu by profession. Somo litaeleweka vizuri mno. Mungu Akubariki binti yangu mwemaDaddy itabidi unifundishe kisukuma..haiwezekani nishindwe kuelewa baadhi ya maneno
![]()



Asante daddy.nikifanikiwa kukijua jamani lazima zawadi upate tu kwakweliHaina shida. Na mimi ni mwalimu by profession. Somo litaeleweka vizuri mno. Mungu Akubariki binti yangu mwema![]()