Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kweli mkuu haka kajamaa huwa kanacheka na kila mtu hakanaga tatizo na mtu wala sijawahi kukafuma jukwaani kanagombana na mtu. Kenyewe huwa kapo tu kanaamua kuwa kapenzi kasomaji na hata kakicomment hakaandiki maneno mengi ni vinukta tu au kucheka au sentensi zake mbili basi kamemaliza.
Exactly! Big up mtu chake
 
Screenshot_20220127_191348.jpg
 
Back
Top Bottom