Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,253
- 90,453
karibuHahahaaa.... shortly asiwe na mambo mengi! Afu ajue kudekeza make kwa kudeka tu aaaaggghh sijambo! Mimi mambo ya kijeshi jeshi umafia aisee hapana kabisa!
karibuHahahaaa.... shortly asiwe na mambo mengi! Afu ajue kudekeza make kwa kudeka tu aaaaggghh sijambo! Mimi mambo ya kijeshi jeshi umafia aisee hapana kabisa!
unaweza nani sasa.. mpole hana maneno mengi real men.. uta enjoyWeeee huyo mimi simuwezi kabisa!![]()
sema wewe mkuuunaweza nani sasa.. mpole hana maneno mengi real men.. uta enjoy
Wewe mtu wa viwanjaaaaaaaaa ..utanionea sana wewehahahaha.swadakta
hii pasi imefika mahala pake rafikiKwa kuwapa pasi wenzio tu..upo vizuri..ulianza kumpasia Pendael24 .. halafu simuoni huyu jamaa amepotelea wapi?? Ukimuona mwambie namsalimia sana
Weee mjeda huyo atanipeleka mputa mputa!!
Kweli tena...hahahaha.rafiki
nikiwa na ww naacha.Wewe mtu wa viwanjaaaaaaaaa ..utanionea sana wewe
wajeda wapo walio fresh.. mpe jimbo acha bana..Weee mjeda huyo atanipeleka mputa mputa!!
ndio uachage sasa umeeleweka sio uzingue tenanikiwa na ww naacha.
utadeka na kuenjoy sanaWeee mjeda huyo atanipeleka mputa mputa!!
Hiiii huwa mnasemaga hivohivo badae ndio mnakengeuka.nikiwa na ww naacha.


nimeacha kuanzia muda huundio uachage sasa umeeleweka sio uzingue tena
mimi hapana.singeuki hata kdgHiiii huwa mnasemaga hivohivo badae ndio mnakengeuka.![]()
Uta enjoy.. sipati picha jioni mpo jogging pale mmepiga sale sale.. huku mnataniana daah ☺️☺️ nakutamanianimeacha kuanzia muda huu
Afu nasikia wajeda wana mambo yao wanayapenda sio kidogo! Sasa kuendana nahayo mambo bwana !!wajeda wapo walio fresh.. mpe jimbo acha bana..
ewa jogging mitaa ya regent estate.gym azura.jioniUta enjoy.. sipati picha jioni mpo jogging pale mmepiga sale sale.. huku mnataniana daah ☺️☺️ nakutamania