CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,066
- 7,650
Sio mbaya hata kujua ahsante kwa lugha tofauti,,, grazie in ItalianHaya tukuite Polyglot au linguist ?
Sio mbaya hata kujua ahsante kwa lugha tofauti,,, grazie in ItalianHaya tukuite Polyglot au linguist ?
Usizuge basi.siendi popote
Means thank youSio mbaya hata kujua ahsante kwa lugha tofauti,,, grazie in Italian
tofauti ipo.we ndo unazugaUsizuge basi.
Kasema dadake anafanana na mimi so hakuna tofauti
kitambo sana ndo maana humu.natazama tu.maana kusema kdg ttzTangu lini
mdada wa mazoez wanakuaga watamuKabisa... mwili wa mazoezi afu stamina ipo waauweeeeehhhhhhhh!!! Unateleza tyu hahaha in cocastic voice!
IPO wapi.mimi sizugi joohtofauti ipo.we ndo unazuga
hahahaha.mkuu mbn wacheka?
Huon ukikaa kimya anaweza kutokea mtu akaninyakua na mawingukitambo sana ndo maana humu.natazama tu.maana kusema kdg ttz
dah.itakua sio zali langu.na utakua umeamua unyakuliweHuon ukikaa kimya anaweza kutokea mtu akaninyakua na mawingu
Nimefurahishwa na namna unaendana na members wa humu jf. Kiuhalisia kama ingetokea mahusiano baina yako wewe mtu chake na Chakorii yangenoga sana kwasababu kwa uzoefu wangu nilionao mwanaume descent akihusiana na mwanamke mchangamfu halafu design flani kama kauzi huwa penzi linakuwa tamu sanahahahaha.mkuu mbn wacheka?
Unaona mabalaa yako sasa…unataka nianze kuwa buzy huku PM Kwa kitu ambacho si cha kweliwe unamzidi ,ila hutaki.hahahaha
Sema wallahdah.itakua sio zali langu.na utakua umeamua unyakuliwe
Naiona kampen Kwa jicho la rohoni mbalizi
Anko hakuna sehemu umeona nimeandika nimekukumbuka
kipi sio cha kweli?Unaona mabalaa yako sasa…unataka nianze kuwa buzy huku PM Kwa kitu ambacho si cha kweli