Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Haya rafikiewaaa fanya ukuje chap chap [emoji4][emoji4][emoji4]
Haya rafikiewaaa fanya ukuje chap chap [emoji4][emoji4][emoji4]
mpendezo wenu tu.. nitawabebea mikoba na mizigo mizigo yenu nitakuwa bodyguard wenu 😊😊Utashabikia nini wee mpambe!!?
mambo ya chumbani mkamalize chumbani dada.. usimcholeshe shemu wangu hapa 😊😊mtu chake bado tuna kesi yetu badae upite hom tuisovu kwanza!
Hahahaaa..mpambeeeeee✌️✌️✌️!mpendezo wenu tu.. nitawabebea mikoba na mizigo mizigo yenu nitakuwa bodyguard wenu 😊😊
Weeee Wala sio ya chumbani hata..! Halafu nimeshakwambia kuhusu mtu chake mida mida uwe unaelewa injiniamambo ya chumbani mkamalize chumbani dada.. usimcholeshe shemu wangu hapa 😊😊
U kiddn right??[emoji23] Umewah sikia latino za Cuba???Spanish is the most romantic followed by French then Italian
I'm in love with it .
Huyu mwamba "Chinua Achebe" alikuwa na madini ya namna yake kichwani
😭😭😭 sawa tuuWeeee Wala sio ya chumbani hata..! Halafu nimeshakwambia kuhusu mtu chake mida mida uwe unaelewa injinia
NimewahiU kiddn right??[emoji23] Umewah sikia latino za Cuba???
Hahahaaa....usilie jikaze weee mwanaume ujue unamuangusha chako!😭😭😭 sawa tuu
umenifungia tuu 😭😭Haya rafiki
chako tena 🙄🙄🙄Hahahaaa....usilie jikaze weee mwanaume ujue unamuangusha chako!
Weee..Waongo hao usiwasikilize!
Nimefunga nn rafiki ?umenifungia tuu [emoji24][emoji24]
haya tufunguliane alafu tujifungieNimefunga nn rafiki ?
Jana nilikuja kwako nikakuta bonge la kufuli pia
chako tena 🙄🙄
nitafaidi.. 😊😊😊Ndio chako kipenzi kitarajiwa Cha mwaka 2023!
Nani afungue sasa [emoji28] ?haya tufunguliane alafu tujifungie
nimefungua chapNani afungue sasa [emoji28] ?