Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Haya nakuja .nimefungua chap
Haya nakuja .nimefungua chap
nitafaidi.. 😊😊😊
😀😀😀 na chakula changu pendwa uji wa mcheleeeeSanaaa..kwahio misosi zitakua ya kurutubisha tu....utashusha heavy rain!!
Na mazoezi yawepo ya kutoshaaaaa injinia...stamina muhimu you know!😀😀😀 na chakula changu pendwa uji wa mcheleeee
😂😂😂 mazoezi mwaka mzima.. aaah! mbona atafurahiiNa mazoezi yawepo ya kutoshaaaaa injinia...stamina muhimu you know!
Greg hii hapa toka GoogleU kiddn right??Umewah sikia latino za Cuba???
Kutoka google hii,,, ukiandika unaumwa mafua wanakwambia u got 1 hour to liveGreg hii hapa toka Google
Romance languages, group of related languages all derived from Vulgar Latin within historical times and forming a subgroup of the Italic branch of the Indo-European language family. The major languages of the family include French, Italian, Spanish, Portuguese, and Romanian, all national languages.


Wale wa Mariachi,,Greg hii hapa toka Google
Romance languages, group of related languages all derived from Vulgar Latin within historical times and forming a subgroup of the Italic branch of the Indo-European language family. The major languages of the family include French, Italian, Spanish, Portuguese, and Romanian, all national languages.
the language is funnyKumbe unanitaka..sasa mbona huniambiinakutaka ww .ila naona unakwepa .hahahahaha
Wow..siwezi kusubiri kumuona pacha wangu☺️Mnafanana rangi,miguu,miili.
Huwa namuonyesha picha zako unazotupiaga.
Acha basi kushadadia chamdekoNaona anajaribu kukuchinjia baharini
HahahahaKutoka google hii,,, ukiandika unaumwa mafua wanakwambia u got 1 hour to live![]()
Kwahiyo umeamua unaenda Kwa sissy wake SA siohahahaha.umeona eeh tena bila huruma,dah,inabidi unisogeze kwa sista hapo
sema hanitaki hata kiduchu.. 🤣🤣🤣🤣Kabisa... mwili wa mazoezi afu stamina ipo waauweeeeehhhhhhhh!!! Unateleza tyu hahaha in cocastic voice!
Arabic, Russian, Italian, french and Spanish, in that orderHahahaha
Kuna facts za ukweli lakini .
siendi popoteKwahiyo umeamua unaenda Kwa sissy wake SA sio
Haya tukuite Polyglot au linguist ?Arabic, Russian, Italian, french and Spanish, in that order
Tangu linidogo zege