Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Heaven Sent mama malezi check product of Mbeya.
Awwww jomoneeeeh mweeeeeh. [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]View attachment 2095621
Huwa nasikia tu
Haya nitakukuta acha nikalale..
Nijulishe, ee mpendwa wa nafsi yangu, Ni wapi utakapolisha kundi lako, Ni wapi utakapolilaza adhuhuri. Kwa nini niwe kama aliyefungiwa kidoto, Karibu na makundi ya wenzako?
Usipojua, wewe uliye mzuri katika wanawake, Shika njia uzifuate nyayo za kondoo, Na kuwalisha wana-mbuzi wako Karibu na hema za wachungaji.
Acha nijipumzishe na mpenzi wa nafsi yanguu [emoji4][emoji4]
[emoji1787]Hili la leo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
1. Usiku kitandani nalimtafuta mpendwa wa nafsi yangu,Nalimtafuta, nisimpate.
2. Nikasema, Haya, niondoke nizunguke mjini, katika njia zake na viwanjani, nimtafute mpendwa wa nafsi yangu. Nikamtafuta, nisimpate.
3. Walinzi wazungukao mjini waliniona;Je! Mmemwona mpendwa wa nafsi yangu?
4. Kitambo kidogo tu nikiisha kuwaondokea, nikamwona mpendwa wa nafsi yangu; nikamshika, nisimwache tena, hata nilipomleta nyumbani mwa mamangu, chumbani mwake aliyenizaa.
Sio sana[emoji849][emoji849].. utafaidi na kujidai eeeh!
Wewe ndiwe chemchemi ya bustani yangu, kisima cha maji yaliyo hai, vijito vya Lebanoni viendavyo kasi.Kubusu na anibusu kwa kinywa chake. Maana pambaja zako zapita divai;
[emoji1787]
Huhuhuhuhuh huyo cc nae anapenda that tall dark guys? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jomoneeeeh wanyaki hoyeeeeeeh, huyu mtu kani suprizeee mnoooo,Asiwapende mchezo
Bado[emoji1787][emoji351][emoji351][emoji351][emoji351][emoji351] volume inatosha?
Wimbo ulio boraKubusu na anibusu kwa kinywa chake. Maana pambaja zako zapita divai;
Naanzaje[emoji1787][emoji1787]Wige unamcheka mdogo angu?
Huyo ndiye shemeji? Ntamdunda mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee zubaa shauri yako lol, mue nakuacha home hivyo.
Gregory 2000 hebu sema neno lako kuu, na dada yangu huyu kipenzi apate kupona. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Fanya hv,, tafuta veil za rangi 3 tofauti na gauni 1,, na mm suti 1 na bowtie 3Ndiyoooooh sweetheart [emoji7][emoji3590]
Unamtisha shemeji[emoji1787][emoji1787] ukumbini utakula jeuri yako ohoooUtachapwa uchakae, watoto wadogo hakuna kuolewa, ni kanani hako kashem? Ntakadunda pia sitaki kuharibiwa mdogo angu[emoji23][emoji23] mimi dada yako mmh bado[emoji51]
Asubiri invitation card tu,, akae mkao wa kukaa chini [emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee zubaa shauri yako lol, mue nakuacha home hivyo.
Gregory 2000 hebu sema neno lako kuu, na dada yangu huyu kipenzi apate kupona. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]Punguza dhambi
Uende mbinguni