Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mtu anajivunia kaka yake kuliko mume wako. Kwenye uzi wa mawifi kuna mtu alisena "madada wengi wanatamani kupata waume wanaofanana na kaka zao"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata mie nampenda dada yangu na nina wapenda dada zangu.. sema protocal tu 😊😊😊.. ila bila hivyo ningeoa dada yangu tu..
 
Hivi unamfahamu VVD wewe?
Salah je???

Oh sijagusa Fabinho[emoji847]

Njoeni,njoeniiii
Na kama nyie wanaume kweli basi tutoeni pale juu EPL


......
[emoji3525]
giphy.gif
 
Back
Top Bottom