Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,242
- 90,420
rafiki, mida yetu,mida yetuNdio rafiki..
rafiki, mida yetu,mida yetuNdio rafiki..
Umeanza upambe khantwe! 💃💃!Utanoga sana....na hayo mahipsi
inabidi upate wax toka lubumbashi rafikiHiki ntakipeleka jumamosi kwa fundi mwingine...ntashona kale ka mshono kama haka hapa Ila ndefu nione.View attachment 2088483View attachment 2088485
InawezekanaHivi hapahapa kufungua kurekebisha hio lastiki iwe hio ndefu itawezekana/ Itakuja kweli??
Nimeongea ukweli tuUmeanza upambe khantwe!!

Asante ntaenda kurekebisha.. sijabarikiwa kabisa nahiviInawezekana
Si wewe wa 96😅..alafu mnavyonikomalia kuniita mtoto sijui mna lengo la kuninyima nini nyie watu96??
Nani wa 96?
We mtoto!😀
Kama una kumbukumbu kule nilipohojiwa nilisema niko kwenye ngapi? Na ilikuwa mwaka gani, then miaka mingapi imeshapita mpaka sasa?ooh sawa...na hapa ni hivyo hivyo. Khaa eti binti
Sikumbuki vizuri ila nahisi ulitaja mwaka huo na ndio huo mimi nilikuwa nimeushikaKama una kumbukumbu kule nilipohojiwa nilisema niko kwenye ngapi? Na ilikuwa mwaka gani, then miaka mingapi imeshapita mpaka sasa?
Sitaki uweke
Kabisa rafiki...nakuaminia najua huwezi niangusha utasababisha ipatikane tuinabidi upate wax toka lubumbashi rafiki
!hahahaha sio kwamba kasema ukweli?Umeanza upambe khantwe! 💃💃!
Wax rafiki..hahahaha sio kwamba kasema ukweli?
!Utafute tena ule uzi usome vizuri!Sikumbuki vizuri ila nahisi ulitaja mwaka huo na ndio huo mimi nilikuwa nimeushika
hahahaha.Kabisa rafiki...nakuaminia najua huwezi niangusha utasababisha ipatikane tu!
Si ndio nashangaa na mimi eti upambehahahaha sio kwamba kasema ukweli?
Fanya hima!hahahaha.