Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,499
- 235,200
Kile kudevu ukishika tu basi unaopoa chombo..huna haja ya kushusha voco.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niombee tu heri rafiki! Manake kwa uzee huu kutupia vocal nayo ni kazi.
Kile kudevu ukishika tu basi unaopoa chombo..huna haja ya kushusha voco.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niombee tu heri rafiki! Manake kwa uzee huu kutupia vocal nayo ni kazi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ewaaa...hapo umepatia! Sema sasa asiwe mdogo, mimi na watoto wadogo hatuivi kabisa!
Una uhitaji au ndio kumsumbua mpwa wangu?Umeona ninavyokumbuka???
Mleteeee[emoji13]
UmefuraaaahiSio sana
Kidogo tu
Baby umekula, eti baby it's lunch time [emoji23][emoji23][emoji23]kama vile sijui lunch imefika! Mkikaa ni kudeka tu mda wote, halafu kikifika hata hakijui kama kimefika...yani the list ni ndefu[emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Visumbufu..Kila saa Baby this Baby that..Na Uzee huo utaweza kweli?[emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Picha uliyoweka imeenda wapi tena?Sio sana
Kidogo tu
Ha ha ha!Kile kudevu ukishika tu basi unaopoa chombo..huna haja ya kushusha voco.
Hebu tumuone kwanzaUna uhitaji au ndio kumsumbua mpwa wangu?
Tupia hapa tuone...Ha ha ha!
Sio 26, chini ya 28 sitaki kabisa...kwanza ni 30 and above kabisa! Watu wa age hizi wana kitu unique wewe huwezi elewa.Watoto wadogo ndo hawa wenye miaka 26 kushuka chini ?
Japo mtoto mdogo ndo atakutii zaidi kuliko hao wakubwa ,maana utamshape vile utakavyo .
🤣🤣🤣🤣🤣! Nimecheka Sana.Baby umekula, eti baby it's lunch time [emoji23][emoji23][emoji23]kama vile sijui lunch imefika! Mkikaa ni kudeka tu mda wote, halafu kikifika hata hakijui kama kimefika...yani the list ni ndefu[emoji125][emoji125][emoji125]
Hapa umetufunga kamba Saint Anne10 yrs[emoji16],hilo gap lilikuwa kwa dada yangu huyo wa 76...mume wake mkubwa.
Angalau 4_7yrs.
Mimi wa 85,,mkeo wa mwaka gani?
Sio 26, chini ya 28 sitaki kabisa...kwanza ni 30 and above kabisa! Watu wa age hizi wana kitu unique wewe huwezi elewa.
UkweliSio 26, chini ya 28 sitaki kabisa...kwanza ni 30 and above kabisa! Watu wa age hizi wana kitu unique wewe huwezi elewa.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Faller wewe...Baby umekula, eti baby it's lunch time [emoji23][emoji23][emoji23]kama vile sijui lunch imefika! Mkikaa ni kudeka tu mda wote, halafu kikifika hata hakijui kama kimefika...yani the list ni ndefu[emoji125][emoji125][emoji125]
Kamba gani?Hapa umetufunga kamba Saint Anne
Tukikupa bure hapa utakataa?Sio 26, chini ya 28 sitaki kabisa...kwanza ni 30 and above kabisa! Watu wa age hizi wana kitu unique wewe huwezi elewa.
Leta uzoefu mkuu, wenye 30+ wapoje?Ukweli
Ulioshiba[emoji1787][emoji1787]
Umeona mkuu, hawa watu wana nafasi ya pekee kwenye moyo wangu.Ukweli
Ulioshiba[emoji1787][emoji1787]
Ikifika jioni kwa ruhusa ya my new baby nitapost[emoji23]Hebu tumuone kwanza