Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23]
Unajiona mkubwa Elli...Dada yangu wa kwanza alkuwa wa 76,wa pili wa 82...huyo mumewe sasa ndio ana umri sawa na wako.

Sema unaweza tu kuwa Anko wangu[emoji847] japo anko wangu ni wa 45
Sasa mbona jamaa akaoa mwanamke wanaendana umri? Huyo shemeji yako alitakiwa kuchukua mtoto mbichi kidogo wa 85 kwenda mbele.
 
Gap la 4 yrs mbona kubwa[emoji3]
Wewe mkeo wa mwaka gani??
Isije kuwa nina umri sawa na wake.
Gap la 5-10 hapo, sio mnakaa na mke anaanza kuzeeka jamaa bado kijana kabisa.

Kwamba nioe mtu wa umri wako? Mtoto wa below 28 nampeleka wapi mimi, hata utam hamjui kuusikiliza naanzaje kwa mfano[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Shem...Mwambie mwenye simu yako akurudishie...Pls..[emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gap la 5-10 hapo, sio mnakaa na mke anaanza kuzeeka jamaa bado kijana kabisa.

Kwamba nioe mtu wa umri wako? Mtoto wa below 28 nampeleka wapi mimi, hata utam hamjui kuusikiliza naanzaje kwa mfano[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
10 yrs😁,hilo gap lilikuwa kwa dada yangu huyo wa 76...mume wake mkubwa.

Angalau 4_7yrs.

Mimi wa 85,,mkeo wa mwaka gani?
 
Back
Top Bottom