Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Kila la kheri rafiki .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haya bwana! 5-10 ni poa zaidi!
Nipo single, nipo natafuta hapa[emoji23]
Kila la kheri rafiki .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haya bwana! 5-10 ni poa zaidi!
Nipo single, nipo natafuta hapa[emoji23]
Hahaha, nakuelewa shem. Hivi inawezekana una madini sana, Ila usiniite mzee mwenzako...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inawezekana kabisa... Hebu nenda taratibu unaweza kupata majibu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha, 0-0 hadi mda huu. Japo ni kama nishaona mahali, tatizo niko na mdomo mzito hatari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na mpaka sasa ubao unasomaje Shem?
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana Shem[emoji6]Hahaha, nakuelewa shem. Hivi inawezekana una madini sana, Ila usiniite mzee mwenzako...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kila la kheri rafiki .
Ha ha ha....Hebu changamka Bwana...Mambo ya kuja kupata aibu sitaki mimi...Hahaha, 0-0 hadi mda huu. Japo ni kama nishaona mahali, tatizo niko na mdomo mzito hatari[emoji23][emoji23][emoji23]
Utafanikiwa tu katika hili , nyie wazee huwa mnajua hatari [emoji23].[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niombee tu heri rafiki! Manake kwa uzee huu kutupia vocal nayo ni kazi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu wazee hawatupii Vocal ujue[emoji28]Wewe endelea na Vocal zako..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niombee tu heri rafiki! Manake kwa uzee huu kutupia vocal nayo ni kazi.
Hizi habari lazima zikufikie, huenda hata nikakutuma umalize kazi mi nikija nashika mkono tu [emoji23][emoji23]Ha ha ha....Hebu changamka Bwana...Mambo ya kuja kupata aibu sitaki mimi...
Ni wapi huko umeona Shem..Ninong'oneze[emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunajua nini Tinsley? Hii ni tungo tata sana ujuwe[emoji23][emoji23]Utafanikiwa tu katika hili , nyie wazee huwa mnajua hatari [emoji23].
Sawa sawa.. Hebu fanya namna basi.Hizi habari lazima zikufikie, huenda hata nikakutuma umalize kazi mi nikija nashika mkono tu [emoji23][emoji23]
Nimekuelewa tena, una madini sana, uko vizuri shem....hivi na uzee huu naanzaje, ngoja niweke kiasi fulani kwenye kadi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu wazee hawatupii Vocal ujue[emoji28]Wewe endelea na Vocal zako..
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule binamu yako haukumpa simu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haya bwana! 5-10 ni poa zaidi!
Nipo single, nipo natafuta hapa[emoji23]
Mpo matured enough tofauti na vijana ,unajua wanawake tunapenda mtu anayesikiliza na kutekeleza , hapo wazee mmewazidi kete vijana .Tunajua nini Tinsley? Hii ni tungo tata sana ujuwe[emoji23][emoji23]
Kumbe una uhitaji binti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nalifanyia kazi subiri. Halafu sio binam, ni mpwa..Yule binamu yako haukumpa simu?
Ewaaa...hapo umepatia! Sema sasa asiwe mdogo, mimi na watoto wadogo hatuivi kabisa!Mpo matured enough tofauti na vijana ,unajua wanawake tunapenda mtu anayesikiliza na kutekeleza , hapo wazee mmewazidi kete vijana .
Umeona ninavyokumbuka???Kumbe una uhitaji binti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nalifanyia kazi subiri.
Sawa Shem...Fanya hivyo chap halafu utanipa majibu[emoji2]Nimekuelewa tena, una madini sana, uko vizuri shem....hivi na uzee huu naanzaje, ngoja niweke kiasi fulani kwenye kadi [emoji23][emoji23]
Watoto wadogo ndo hawa wenye miaka 26 kushuka chini ?Ewaaa...hapo umepatia! Sema sasa asiwe mdogo, mimi na watoto wadogo hatuivi kabisa!
Chap kwa haraka shem!