Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Mimi 60 nimesema
Hivi tupo wote kwenye 80 eh?
Mimi 60 nimesema
Hivi tupo wote kwenye 80 eh?
Tatizo kaka beberu nikikupa shkamoo haujibu.89? Kumbe JF tunachat na wadogo zetu wa mwisho humu!
Kuanzia leo tandaza Shikamoo kwangu! Unionapo salimia kwanza "Shikamoo kaka beberu!"
60 sawa na Auntie yangu?😁Mimi 60 nimesema
Na wewe wa 88 unamkandia wa 89?89? Kumbe JF tunachat na wadogo zetu wa mwisho humu!
Kuanzia leo tandaza Shikamoo kwangu! Unionapo salimia kwanza "Shikamoo kaka beberu!"
HS na Chakorii tu ndio uliwaona..mimi hukuniona🥲jamani jamani mbona unawivu kwa wifi yako 😔😔😔😔
Sasa mimi si auntie wako?60 sawa na Auntie yangu?![]()
NimekoseaWewe no 89 au 99?
KimeumanaaaHS na Chakorii tu ndio uliwaona..mimi hukuniona🥲
Sitakiiiiii,nimekususa😒
Hee!😂😂😂Sasa mimi si auntie wako?
Haka kaneno unakapenda siku hiziKimeumanaaa
Unataka kaka wakoo niendelee kukaa single jamaniii 😔😔😔😔HS na Chakorii tu ndio uliwaona..mimi hukuniona🥲
Sitakiiiiii,nimekususa😒
Eeh ndio maana yake sasa hivi niite auntie mambo ya udada sitakiH
Hee!![]()
Mimi ni below 40...Tatizo kaka beberu nikikupa shkamoo haujibu.
Wewe wa mwaka gani?
Weee! Love mimi ni wa 88 kweli?! Mimi ni wa 80's tena ni below 40 by few months!Na wewe wa 88 unamkandia wa 89?
Sema below 35...below 40 ndio niniMimi ni below 40...
Si tulikubaliana lakini kwamba Pep ni shemeji yetu!?!Yule bwana pep?
Weee! Love mimi ni wa 88 kweli?! Mimi ni wa 80's tena ni below 40 by few months!


kwendraa yaani hata mimi unanidanganya?Kunitag mimi lastborn kuna uhusiano gani na usingle?Unataka kaka wakoo niendelee kukaa single jamaniii![]()
