ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,471
- 126,716
Dah..haya bwanaUsiponiona hapoo ndo baasi tena[emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2]
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Dah..haya bwanaUsiponiona hapoo ndo baasi tena[emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2]
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Serious nakuambiaa!mid 30's Mimi...[emoji2][emoji2][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]!!!
Nimejilipua tuu Leo ,bila emoji wala nini, wakinijua wanijue tu !wanaonifahamu ni wengi humu!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Yaani usiku wote nilikuwepo Jf ilikuwaje nikapitwa na hii
Mbona niliweka tena chakorii!mnachat na khantwe mmeweka tena live kabisa hamkuona?!!looh[emoji28][emoji28]shida sijui imoji zinapatikana wapi!ndo maana nawekaga live au nakataYaaanii
Amen [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Sijambo daddy.
Asante sana.
Mungu muweza wa vyote azidi kukutunza na kukulinda Kwa ajili yangu.
Amen
View attachment 2084511
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]25 jamani si mdogo wangu watatu huyoo!!picha ya Jana ile Shimba!ngoja usiku wa manane ntalijilipua tena uone!wazee sisi!!live kabisaa!Mid 30s nitabisha mpaka mwisho wa dunia. 25 penyewe bado parefu. Labda kama ile ni picha ya zamani...
Uwe na siku njema mjukuu...[emoji2221][emoji2221][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
Acha kabisaa!Dom kuna kamvua kataamu balaa!yaani nalala km mtoto!Usingizi wa mvua na kibaridi mtamuuu [emoji1545][emoji1545]
View attachment 2084512
Leo sitoki hapa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]25 jamani si mdogo wangu watatu huyoo!!picha ya Jana ile Shimba!ngoja usiku wa manane ntalijilipua tena uone!wazee sisi!!live kabisaa!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Sijafunga pm Rey my ❤️Mbona niliweka tena chakorii!mnachat na khantwe mmeweka tena live kabisa hamkuona?!!looh[emoji28][emoji28]shida sijui imoji zinapatikana wapi!ndo maana nawekaga live au nakata
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Tugawieni na sisi Daslam jamaniAcha kabisaa!Dom kuna kamvua kataamu balaa!yaani nalala km mtoto!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Balaa kabisaa!wengine shepu za kabati!sura za baba!ngozi ya mamba!!![emoji38]Eeeeeeeh hapo sasa [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Kuna watu wamebarikiwa nyie.
Weka namba nkutumie!fastaa mvua ya bukuTugawieni na sisi Daslam jamani
Hakikisha unanitag aisee...nilinganishe na hii niliyosevu kichwani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]25 jamani si mdogo wangu watatu huyoo!!picha ya Jana ile Shimba!ngoja usiku wa manane ntalijilipua tena uone!wazee sisi!!live kabisaa!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
07679200.... Inayobaki piemu
Hakutakua na tofauti [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]!!!!hyo ya kichwani sasa!ila Shimba bwana!!!ntakutag tu!au ngoja nijilipue tenaHakikisha unanitag aisee...nilinganishe na hii niliyosevu kichwani [emoji16]
[emoji3][emoji16][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]nshaotea tayari subiri mvua!07679200.... Inayobaki piemu
NasubiriHakutakua na tofauti [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]!!!!hyo ya kichwani sasa!ila Shimba bwana!!!ntakutag tu!au ngoja nijilipue tena
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app