Kashaija72
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,522
- 5,584
Aaaagh, sasa 'morning glory'.
Aaaagh, sasa 'morning glory'.
Mama Mchungaji kasema Ile ya Juzi nimechangia ukuaji wa huduma, kwahiyo ataitumia Ile Hela kueneza Injili hadi kufika Kijiji Cha Nanjilinji huko 🙆Receipt muhimu sana, kama hana receipt au machine ya EFD hakuna kupewa pesaaa 😂😂😂😂 na kama akipewa iwe chini ya 100,000.. muambie mama pastor akupatie receipt ya jana
Leo nina bahati sana. Nimekuona laivu! [emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji11]kumbee!!!imeishaa hyooo!wife materials sura za baba!Leo nina bahati sana. Nimekuona laivu! [emoji91][emoji91][emoji91]
Sura ya baba wapi? Na hiyo rangi ya mtume na ngozi laini hiyo...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji11]kumbee!!!imeishaa hyooo!wife materials sura za baba!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Halafu ni mimi peke yangu nimeona japo umefuta haraka hata sijasevu ila haina neno dah![emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji11]kumbee!!!imeishaa hyooo!wife materials sura za baba!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Hizi tenzi ziimbwe na mtiwa mafuta Mbarikiwa Mwakipesile sasa uwiii. Ibada ya ajabu [emoji1545]. Nimezikusanya karibia zote na nikiwa na safari ndefu hata ya masaa 10 nikiziweka najua tu kuwa nitafika salama!Yesu nakuhitaji
Vivyo kila saa
Niwezeshe mwokozi
Nakujia[emoji122][emoji122]
[emoji42][emoji42]
Yap sio zambi kabisaSijambo Chakorii!
Kuangalia vitu vizuri sio dhambi[emoji23][emoji23]
Haiwezekani...[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji11]kumbee!!!imeishaa hyooo!wife materials sura za baba!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Binti yangu hujambo? Nakutakia siku njema na Mungu Akakubariki sana; na wapendwa wote katika uzi huu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Yap sio zambi kabisa
Weewee!![emoji2][emoji2][emoji2]tunaambiwaga jf wadada wa jf wote wabayaa!!![emoji2][emoji2][emoji1][emoji1]kawaida tuuu!!!tupo tupo tu!!!hatuna mbele wala nyumaSura ya baba wapi? Tena hiyo rangi na hiyo ngozi kwa huyo Msukuma kwisha habari yake [emoji16][emoji16][emoji16]
Ila na wewe ni mjukuu wangu tu. Anza kuniita babu kuanzia leo. Hata 25 hujakaribia dah!
Babu mi mkubwa Sana'a!am mid 30's...!!!hujasave[emoji2]mmefuta maana nilijiweka live bila chenga hakuna emoji ya kujificha!Halafu ni mimi peke yangu nimeona japo umefuta haraka hata sijasevu ila haina neno dah!
Nakuonaga tu halafu nakuchukulia poa kumbe ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji8]
Elly imeishaaa hyooo!!until further notice![emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]!!!na nlikutagreymage umefutaje kabla sijaona?
Acha roho mbaya mdogo wangu!![emoji23][emoji23][emoji23]Elly imeishaaa hyooo!!until further notice![emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]!!!na nlikutag
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Usiponiona hapoo ndo baasi tena[emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2]Acha roho mbaya mdogo wangu!![emoji23][emoji23][emoji23]
Abeee...babe?Babe umeupiga mwingi hapa[emoji1787][emoji1787]
Ulale sasa.
Mashambulizi yalikuwa makali mno[emoji1787]
Hata mimi haijaniingia akiliniJamani [emoji3064][emoji3064]
Babu mi mkubwa Sana'a!am mid 30's...!!!hujasave[emoji2]mmefuta maana nilijiweka live bila chenga hakuna emoji ya kujificha!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Serious nakuambiaa!mid 30's Mimi...[emoji2][emoji2][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]!!!Mid 30 unaota? Hata late 20s bado!
Huo ulikuwa ni ujasiri kwa kweli. Laivu bila emoji wala nini. I wish ningescreenshot chap. Nimeenda kunywa maji nusu dakika ushafuta dah! Ila nimeisevu kichwani haina neno [emoji16][emoji16][emoji16]