Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Watu wabaya sana🤣😂😂
Ulisikia wapiKwamba wewe siyo dada yangu?🙆
Shemeji yako si ni wetu wote😁
Nimekumis piaa....fanya ukujeeNipo njema sana bossi wangu! Nimekumis sana!
Ingawa sijui kubet lakini najua mkeka hauwezi kuchanika.hallelujahKwamba unanibagua 'kivyama'
Sema kwa hii back up napata kwa watumishi wenzangu Chakorii na Heaven Sent ....naona kabisa huu mkeka ukiangukia HQ za East Africa
Hahaa... Kimbia fastaaa usije ukachoka mapema ndokwanzaaa january 🤣🤣!
Kufa hufi Ila cha moto sasa🤣🤣Naondoka zangu.
Cha kufia hapa nini🤣🤣🤣
EwaaaIngawa sijui kubet lakini najua mkeka hauwezi kuchanika.hallelujah
😉Kwamba unanibagua 'kivyama'
Sema kwa hii back up napata kwa watumishi wenzangu Chakorii na Heaven Sent ....naona kabisa huu mkeka ukiangukia HQ za East Africa
Will be there soon sweetheart jiandae kunipokea!Nimekumis piaa....fanya ukujee
Dah nimesurrender🙌😂Kufa hufi Ila cha moto sasa🤣🤣
Ndo utajua sasa hujuiiiiWill be there soon sweetheart jiandae kunipokea!

Rafikiii!!! Weekend wapi hio!!!
Usije ukakosea uniite shemNambie ni Shemeji yetu kwa nani ?
Niwacheeeee niwacheeeee bosiii usinkumbushe chichichii jamani nimeimisijeeeeee🤸🤸🤸 !! Wee mi najua kidogo bosii!Ndo utajua sasa hujuiiii
Chi chi chi
Nikuite nani?😉Usije ukakosea uniite shem
Ntaku report kwa Melo ulambe life ban
Niwacheeeee niwacheeeee bosiii usinkumbushe chichichii jamani nimeimisijeeeeee!!
Khaaaa😂😂😂😂😂😂🙌Na viatu![]()
Kwamba wewe siyo dada yangu?
Shemeji yako si ni wetu wote![]()
Kwamba unanibagua 'kivyama'
Sema kwa hii back up napata kwa watumishi wenzangu Chakorii na Heaven Sent ....naona kabisa huu mkeka ukiangukia HQ za East Africa