Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,494
- 235,183
Nilijua tu utasema hivi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Shemeji yangu anaweza akawa mumeo
Nilijua tu utasema hivi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Shemeji yangu anaweza akawa mumeo
Khaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Hadi wewe????
Btw,unamuonaje shemeji yako??
Nilijua tu utasema hivi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watumishi wenzangu Chakorii na HS watakupa mwongozoNikuite nani?😉
Ooopsss bosi jamaniiii!!😋😋😋😋! Kula ushibe vizuri ukuwe nanguvu bosi wangu si niko nakuja banaaa wee kula kula na Tena tu🤸🤸🤸!View attachment 2084220
Ngojaaaa nishibe kwanzaa
Confirmed...una seat yako mbinguniShemeji yangu anaweza akawa mumeo
Acha tu dada mdogo wako hapendi kweli kuniona nakunywa [emoji3064][emoji3064]Naona mnabembelezana na last born
Dada mtu kauzu huyu[emoji1787][emoji1787]Shemeji yangu anaweza akawa mumeo
Wamenikazia leo😁Dada mtu kauzu huyu[emoji1787][emoji1787]
Khaa
Haya ndo maswali sasa.Khaaaa😂😂😂😂😂😂🙌
Hadi wewe????
Btw,unamuonaje shemeji yako??
Confirmed...una seat yako mbinguni
Acha tu dada mdogo wako hapendi kweli kuniona nakunywa [emoji3064][emoji3064]
@Karma anagonga Eagle huko
Dada mtu kauzu huyu[emoji1787][emoji1787]
Khaa
Karma ni partner wangu katika purukushani zote humu🤣😂😂@Karma anagonga Eagle huko
Mixer Balimi
Duh[emoji2297]Amepata mume mwema aende mapema tu. Sio adengue, aje apigwe na vitu vizito kama vya dada zake afu tuanze mambo ya kutiana moyo. Hatutaki
Ila shemeji Pep ukizingua, nakuonea huruma ndugu yangu. Dada zake wenyewe si unatuona tulivyo
[emoji188][emoji188][emoji188][emoji188][emoji188][emoji188]
Huyu mdogo ako kwa namna anatutia jamba jamba..Nitakuwa head girl wenu kule
Atapata tabu sanaHuyu mdogo ako kwa namna anatutia jamba jamba..
Akifika huko mpangie adhabu ya kufyeka mbingu nzima.
Au hata ya kuoshea malaika wote viatu.
Ajifunze adabu
Ooopsss bosi jamaniiii!![emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]! Kula ushibe vizuri ukuwe nanguvu bosi wangu si niko nakuja bana wee kula kula na Tena tu[emoji1732][emoji1732][emoji1732]!
Dada mkubwa shemeji umeupiga mwingi kuliko yule Chief wa wasukuma.Amepata mume mwema aende mapema tu. Sio adengue, aje apigwe na vitu vizito kama vya dada zake afu tuanze mambo ya kutiana moyo. Hatutaki
Ila shemeji Pep ukizingua, nakuonea huruma ndugu yangu. Dada zake wenyewe si unatuona tulivyo
[emoji188][emoji188][emoji188][emoji188][emoji188][emoji188]