Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
Ng'ambo, itetemia, mwanza road, kanyenye, kariakoo, kitete, bachu, isevya, kiloleni ππππ..Au mwinyi. Kachelema unakufaham?
Mkurya sio??!!Watu huwa ni wabishi sana, mie huwa nawataja surname tu , ukitaja kabila hawaamini .Maana hapo ataanza kusema mbona watu kabila hilo hawapo hivi ? anauliza tena umefanyiwa FGM ?
Happybday to you!ely15|01|1990-15|01|2022=?
GOD has given me another year to live, laugh, and love and that is the best thing I could receive
HAPPY BIRTHDAY TO ME
Makabila mengi wanafanya FGMMkurya sio??!!
Hahaha mbona FGMWatu huwa ni wabishi sana, mie huwa nawataja surname tu , ukitaja kabila hawaamini .Maana hapo ataanza kusema mbona watu kabila hilo hawapo hivi ? anauliza tena umefanyiwa FGM ?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nina rafiki zagu wawili hala wasukuma, R na L inategemea siku hiyo wameamkaje
Heeeeeeeeeeeh kumbe!! ninaowajua sanasana ni wakurya..ok ok.Makabila mengi wanafanya FGM
Wanakuuliza kimakusudi yaani [emoji23][emoji23]Hahaha mbona FGM
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23]jamani kaahh!umenichekesha sana!Ninavyojulikana hivi, angeshajitokeza wa kunisifia. Ukiona kimya, ujue kila kitu ni "personal". Kama yule mpendwa aliyesema wadada wa humu tuna features za ki-wife material. [emoji23][emoji23][emoji23]
Nimepitia Milambo hapo.Ng'ambo, itetemia, mwanza road, kanyenye, kariakoo, kitete, bachu, isevya, kiloleni [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]..
Nyie nyie jamani.. tokomeza huu ukatili π₯Ίπ₯Ίπ₯ΊMakabila mengi wanafanya FGM
Leo rada zimegoma kabisa kuniweka juu mawinguni[emoji1751][emoji17][emoji19][emoji19][emoji19]
ππππ Safi naona mlikuwa mpo karibu na chem chem juu kidogo mwanza road.. pale chini mwinyi..Nimepitia Milambo hapo.
Hivi mpaka waleo kuna wazazi wanawafanyia binti zao hio kitu??ππNyie nyie jamani.. tokomeza huu ukatili π₯Ίπ₯Ίπ₯Ί
Mama pastor itakuwa kanikamata kwenye maombi πππ ka disturb systemLeo rada zimegoma kabisa kuniweka juu mawinguni[emoji1751][emoji17][emoji19][emoji19][emoji19]
[emoji3][emoji3]Ila kuna watu watafika kwa Mungu wamechoka sana [emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]Urembo tunawaachia ma celeb huko Atuwache kabisa! Kwanza nilipenda hakuna hata aliemsapot ujinga ule!
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23]jamani kaahh!umenichekesha sana!
π€£π€£π€£π€£π€£Mama pastor itakuwa kanikamata kwenye maombi πππ ka disturb system