Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,862
- 147,310
AnkaliLafudhi ya kizanzibari inautesa sana moyo wangu.Nakonda moyo,niombeeni ndugu zangu![emoji125][emoji125][emoji125]
View attachment 2081352
AnkaliLafudhi ya kizanzibari inautesa sana moyo wangu.Nakonda moyo,niombeeni ndugu zangu![emoji125][emoji125][emoji125]
View attachment 2081352
Ankali nakonda moyo!😑Ankali
Kudeka rahadah ndo kuniringishia..
ntakulipiza, subiri tu..Kudeka raha
AmeenDaah Mungu azidi kumtunza jamani.
Ni vyema kuachilia vitu moyoni ili uwe na amani ya moyo .Yeah; hapo pa kusamehe sasa; kwa wengine imekuwa ni jaribu la maisha yao...
Shida nini ankali?Ankali nakonda moyo![emoji58]
😍😍
Selfika kidogo🤗
Siyo kingine bali ni lafudhi ya kizanzibari Ankali🤗🤗🤗Shida nini ankali?
Dooh ankali,wacha hizo,njoo nikufundishe angalauSiyo kingine bali ni lafudhi ya kizanzibari Ankali[emoji847][emoji847][emoji847]View attachment 2081394
Leo tuna ugeni mzito😎😎😎Karibuni tule wapendwa!View attachment 2081362
Naona kaja,subiri amalize kulantakulipiza, subiri tu..
Byuriful[emoji7][emoji7][emoji7]Vile najisikia raha mie lastborn [emoji847][emoji847]
Kula kasauti hako kidogo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Oh selfika na hapa.Mi naselfika sana kwenye nyuzi za Mahaba, huku sina kibali...😜.
Ankali vile nipo njiani nakuja unifundishe lafudhi ya kizanzibari😁😁😁Dooh ankali,wacha hizo,njoo nikufundishe angalau
Njoo ankalii[emoji7]Ankali vile nakuja unifundishe lafudhi ya kizanzibari[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2081423
reymage Heaven Sent hii kitu nimeielewa sana pia inasevu kitenge.. nailia timing ila mimi ntashona ndefu hadi chini pia ntaweka tumifuko twa swaggerView attachment 2081390
Duhh kumbe!! Lakini pande 2 si zinatosha fresh!!Hiyo mikono inakula kitenge kidogo, ila very byuriful kwa kweli
Duhh kumbe!! Lakini pande 2 si zinatosha fresh!!
Oh selfika na hapa.
Kule kwenye k matata unatuconfuse na picha zako,,,unawekaga nyingi aina tofauti hadi tunashindwa kuelewa yako ni ipi😝