Selfika na JF: Snap it. Show it

Umenitafakarisha sana, asante kwa shuhuda hii kuna kitu nimekipata.
 
Pole mno, kwa sisi wengine ambao hatukupata malezi ya mama na baba hatuwezi kujua unachozungumza.
 
Asante kwa hili, kumbe wanaume bado wanathaminika, kuna wakati thamani yetu ilikua haipo kila kitu ni mama tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…