Selfika na JF: Snap it. Show it

Very true mkuu!wakati mwingine hizi dini zinatufunga tusifikirie nje ya kile wanachotuaminisha. Ukifikiria nje kidogo utaambiwa unakufuru
Sio kweli, mbona wengine walokole damu damu.. ila maisha yanaenda na tupo nje ya box.. issue sio ulokole ni matatizo ya mtu binafsi.. yani huenda huyo mtu bado angekuwa kimeo... hata kama angekuwa hajaokoka

1 Wakorintho 6:12
Vitu vyote ni halali kwangu, lakini si vyote vifaavyo; vitu vyote ni halali kwangu, lakini mimi sitatiwa chini ya uwezo wa kitu cho chote.
 
Makiwendo anaishi Mkoani wewe


Sent using Jamii Forums mobile app
😁😁😁 sikuwezi wewe.. uzuri nimejikuta sasa hivi napigwa dana dana na warembo wa jf kuonana nao, huku na mie nimeapa kutokutana na member yoyote wa jf nje ya jukwaani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚tunaanzia hapa tunaishia hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…