Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
Picha yake siweki 😁😁😁😁Picha ndio itaeleza kwa ufasaha zaidi [emoji1787]
Picha yake siweki 😁😁😁😁Picha ndio itaeleza kwa ufasaha zaidi [emoji1787]
Na kweli sio vibaya, then tumsifie na sisi bwana sio anamsifia yeye tu[emoji1787]Tuone alivyojaliwa
Hakika si vibaya
Shinikizo likizidi utaweka[emoji1787]Picha yake siweki [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Eeh atatuma picha kweli sidhaniNa kweli sio vibaya, then tumsifie na sisi bwana sio anamsifia yeye tu[emoji1787]
Tuendelee kutumia diplomasia akikataa atake asitake atatuma!Eeh atatuma picha kweli sidhani
Ukiona kitu inaleta maana zaidi .
mmekazaaa eeeh 😀😀😀Tuendelee kutumia diplomasia akikataa atake asitake atatuma!
Sidhani ..Tuendelee kutumia diplomasia akikataa atake asitake atatuma!
Nimewawekea naona mmelala 🙄🙄
Argh kuweka kwa kuvizia ndio nini sasa! Hata sijaona tena [emoji124]Nimewawekea naona mmelala [emoji849][emoji849]
Nikiwa bafuni 😊😊Unachat ukiwa wapi!???? - kwenye kochiView attachment 2078793
mmechelewaaaa 😂😂😂Argh kuweka kwa kuvizia ndio nini sasa! Hata sijaona tena [emoji124]
Boss lady mwenyewe huyo dah!Unachat ukiwa wapi!???? - kwenye kochiView attachment 2078793
Wanaume huwa hatufuti picha (haraka haraka) mkuu. Hiyo tabia waachie mabinti! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Nimewawekea naona mmelala [emoji849][emoji849]
Msukuma umeambukizwa upambe eehh!!!???🤣🤣Boss lady mwenyewe huyo dah!
Rangi ya mtume hiyo. Shepu ya Kibantu. Ngozi lainiii mithili ya hariri. Msukuma hapo hata ng'ombe 75 unapigwa na unazitoa kwa moyo safii [emoji91][emoji91][emoji91]
Aarghh nimechoka kuomba tena!mmechelewaaaa 😂😂😂
Siyo upambe...Huo ndo ukweli wenyewe. Mwanaume wa Kisukuma kwako hachomoi hata iweje! [emoji16][emoji16][emoji16]Msukuma umeambukizwa upambe eehh!!!???[emoji1787][emoji1787]
Hahahaha... Sikuwezi SYB! Kwa kuchochea tuuu aaaahh!!Siyo upambe...Huo ndo ukweli wenyewe. Mwanaume wa Kisukuma kwako hachomoi hata iweje! [emoji16][emoji16][emoji16]