Selfika na JF: Snap it. Show it

Ingawa nilikua natania, lakini ujumbe wako nimezipenda, binadamu pamoja na mengi tunayohitaji lakini faraja ni ya muhimu mno, bwana yesu wakati ana anza utumishi wake alijitambulisha kama aliyekuja kuwaponya waliovunjiwa moyo yaani kuwaoa faraja wenye huzuni.

Nakuombea ukafanikiwe kutekeleza azma yako hio.
 
Na mimi ni mpendwa ujue, unataka nikuchambe? Unakijua kichambo cha mama Mchungaji?


On a serious note; wapendwa ni watu wa kawaida tu kama watu wengine. Wapo ambao wanajiona wao ni watakatifu kwa sababu ya makanisa wanayoabudu; na wapo ambao sisi tunawaona wanajifanya ni watakatifu kwa sababu tu lifestyle yao ni kwenda kanisani mara nyingi/ kwa sababu wanasali kanisa fulani. But wote ni binadamu ambao tunapambana na jambo moja au lingine. Kuna watu wanakimbilia makanisani kwa sababu kuna dhambi ambazo wamejitahidi kupambana nazo kwa akili zao wakaona hawawezi wenyewe; bora kusurrender kwa Sir God. Kuna watu ambao wewe unaweza ukawaona "wamesimama vizuri na Mungu"; hadi ukajiona wewe ni mchafu mbele yao; but wakija kukuelezea struggles zao za dhambi unajikuta unajiona malaika kwa muda. So kanisani ni mahali sahihi sana kwa sisi wenye dhambi.

"There is none righteous, no, not one "(Romans 3:10 NKJV). No one is immune to sin.........
Wapendwa wengi wao ni wanafki Na wasengenyaji.nisishanbuliwe Na wapendwa humu ndani ninauhakika
Na nilichokiandikA
 
Ohhhh pole sana!
Ukija usiache kubeba NimrCuff za kutosha.
 
Nipo conscious sana katika kutengeneza urafiki, snitches wamejaa sio poa. Mtu anakutengenezea tukio ukishtuka kasepa unabaki kulia.
Usiogope kuwa jua watu ndugu yangu.saa nyingine jifanye unatatizo halafu mwambie(kumtega)majibu Yake utajua hapa ninamtu au mzigo au snitch.njia za kuwajua ni nyingi Kama kweli Uko serious unataka kuchuja kupata marafiki.mingine yanaruhusiwa kutokea Kwa sababu.si kila mtu ni mbaya Na snitch
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…