Kwa Ke, kipensi kile hakikua na ishu, ndio maana nikasema kua alikivaa mwanaume (if you know you know). Ke wengi tu huvaa kama ulichovaa wewe jana na hawasumbuliwi. Ila pia isiwe too much.
Hata hivyo mimi sio reference nzuri sana ya maeneo ya namna hii. Niliku-poke kidogo tuu kukuhakikishia kua pestana sio kwa aina yako, ila ukienda hawafukuzi, wakifungua usisite, ikiwa ndio chaguo lako.