Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,546
- 235,319
🤣🤣🤣🤣Nakukubalia kabisa mkuu, ukipata rafiki wa kweli utafurahia. Nakumbuka nilinunua mzigo wa mchongo nikawekwa ndani, nikampigia simu jamaa yangu, ndani ya dk 10 yupo polisi na keshafanya yake, naitwa tu kazi imeisha natoka.
Ila ukipata snitches utafurahia ya dunia.
Boss negative energy inavuta vitu vibaya always,usiangaike sanaa ya mabadiliko ya binadamu wewe timiza wajibu wako, somebody say karma is...... Unajua hakuna mwema dunia kiasi kwamba hakosei,ni vile tunajifunza namna ya kuishi na madhaifu ya wengine kama wengine pia wanavyojifunza kwetu.Bado usiseme mmefika huko, safari bado ni ndefu sana. Shukuru Mungu tu hadi saivi mnaenda sawa, siku yakiharibika.....sema nyie mnaweza kuwa wapendwa katika Kristo [emoji23][emoji23]hilo linasaidia kidogo
Sijui rafiki yangu .Hadi mimi wa Mwakaleli nakushinda?
Boss negative energy inavuta vitu vibaya always,usihaike sanaa ya mabadiliko ya binadamu wewe timiza wajibu wako, somebody say karma is...... Unajua hakuna mwema dunia kiasi kwamba hakosei,ni vile tunajifunza namna ya kuishi na madhaifu ya wengine kama wengine pia wanavyojifunza kwetu.
Ila still duniani kuna watu wenye roho za dhahabu kiasi kwamba humkinai kamwe.
Mungu awabariki wote msio na roho ya korosho na wazidishie maradufu kama alivyombariki mtumishi wake Suleiman.
Si unajua mzigo hauna risiti, kutaka kitonga mtu unashangaa pilato kapita na wewe...mzigo unanunua laki sita unapigwa faini ya mil.3. Upumbavu mtupu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kimchongo ukatoka ndani[emoji16]
😂😂😂😂😂.Si unajua mzigo hauna risiti, kutaka kitonga mtu unashangaa pilato kapita na wewe...mzigo unanunua laki sita unapigwa faini ya mil.3. Upumbavu mtupu[emoji23][emoji23][emoji23]
Mwana anakuja, anabonga na askari..anamuweka freshi ili mwamba usiaibike kulala ndani...!!
Limetulia rangi nzuri .Aloo[emoji847][emoji2960]
Jioni ifike nikajaribu[emoji3059][emoji126]
Sina hili wala lile nakutana na zawadiView attachment 2077043View attachment 2077045
Product za TurkeyLimetulia rangi nzuri .
OkayProduct za Turkey
Mungu ni mwema🙏.Okay
Nice outfit
AmenMungu ni mwema[emoji120].
Amenivisha.
Sioni mabadiliko
hahahaha kumbe mwana ni ww? huu uzi mpk sasa umenisaidiatbt wiki moja iliyopita kabla sijaacha pombeView attachment 1965669
Ningejiskia mwenye kubarikiwa sana hii ningekutana nayo pale kwa ndugu Kassim Majaliwa ikiwa haina hiyo saa 😅Baba mtumishi leo tupo wiki ya vijani vibichi.
Ni kijani kibichi mbele kwa mbele kama mbogamboga[emoji23]View attachment 2076670
Nimehamia kwenye wine..Sioni mabadiliko
Animation for lifeHii nimetoka kuichek jana
Napenda animation movies