Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

FB_IMG_1625317581418_1.jpg

Miaka 13 iliyopita
 
Kumbe Bambalaga na Pestana ni za mtu mmoja? Sasa mkuu mbona nimeambiwa Pestana imefungwa permanently na sasa hivi Bambalaga ndiyo habari ya mjini sasa hao wanafunzi wataenda wapi?

Halafu Bambalaga ile tabia ya wale mabaunsa kuzuia watu kuingia kisa mionekano tu siyo poa wala nini! Mkuu donlucchese au na mimi siku nikienda niwaambie mi mdogo wake Bigi CDO labda watakubali?
Ofcoz mmiliki ni mmoja. Swala la wanafunzi wataenda wapi, wataenda walipokua wanaenda kabla ya Pestana.

Ofcoz ile tabia sio poa kabisa japo binafsi naamini kwa msongamano ule wa bambalaga, ukiumix na tabia za wanafunzi walio wengi panakua pahovyo flan.

Maono yalikua mazuri sana, kufanya pawe sehemu ya namna flan, ila utekelezaji ndo una maudhi.

Tulienda team kwa kaz flan, mmoja wetu alivaa kwa namna isiyoendana kidogo, ni mithili ya pensi uliyovaa wewe jana wakati uko wimpy pale round about unapata kiepe, sasa yeye ni mwanaume (if you know you know). Na mwingine alivaa crazy jeans. Ilikua maudhi, nusu tuliingia nusu walibaki. Kwa sababu ya kufanya kilichotupeleka ilibidi watumie vitambulisho. Japo kwa kipensi kile hata mimi niliona aibu.
 
Back
Top Bottom