ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,444
- 119,039
Umeanza tena uchokozi

Umeanza tena uchokozi

Hiyo pole uliyonipa inatosha .Nione naomba, ili nikupe pole kweli kweli...
Nakuona Eli🤣🤣🤣Umeanza tena uchokozi![]()
🤣🤣🤣🤣🤣Hiyo pole uliyonipa inatosha .
Hakyanani Tinsley kanichinjia kusikojulikana
Eliiii




hivi huwa sinaga bahati eeeeh!Usiseme hivyo Mkuu .Hakyanani Tinsley kanichinjia kusikojulikanahivi huwa sinaga bahati eeeeh!
Leo kweli nimeshuhudia usivyo na bahati.Hakyanani Tinsley kanichinjia kusikojulikanahivi huwa sinaga bahati eeeeh!
Mfanyie wepesi basi🤣Usiseme hivyo Mkuu .
Mkuu nilitaka tu urudie kutuma picha ili nikuonez ujuwe sijawahi hata kukuona selfika..kila nikiingia ushafuta picha...Ila ndio hivyo watu na dam zetuUsiseme hivyo Mkuu .


Hakuna anayenitaka, amini hivyo!!Leo kweli nimeshuhudia usivyo na bahati.
Tatizo wanaokutaka huwataki,unawataka wasiokutaka![]()
Ni rafiki tayariMfanyie wepesi basi
Nakumbuka alikuomba urafiki huyu
Umeona bhana kama picha mbili au tatu .Mkuu nilitaka tu urudie kutuma picha ili nikuonez ujuwe sijawahi hata kukuona selfika..kila nikiingia ushafuta picha...Ila ndio hivyo watu na dam zetu![]()
Dah unambania sana yaani Last born wetuNi rafiki tayari
Mbona wapo wengi sanaHakuna anayenitaka, amini hivyo!!
Mimi pia last born ujueDah unambania sana yaani Last born wetu
WaiteMbona wapo wengi sana
AU niwaite?
Usiwasemee watu Anne, kwanza we umekuwa mchokozi sana. Amekufundisha nani hizi mambo?Mbona wapo wengi sana
AU niwaite?
Sijaona wallh tena, kuna kuona halafu KUONA! Huenda niliona tu ikaisha hivyoUmeona bhana kama picha mbili au tatu .




Tulia kwanza basi...hakuna wa kuitwa hapa coz nna dam yangu naijua mwenyeweWaite


Haya bhana ulionaSijaona wallh tena, kuna kuona halafu KUONA! Huenda niliona tu ikaisha hivyo![]()