Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,567
- 235,390
Mimi Mungu anataka niwe kundi hilo la 3 na nimekuja kuambiwa waziwazi,Nimecheka. Ila if you bag yourself a good man now.....(uning'ate sikio)
Yeah huu ni muda wako wa ku-add value kwenye maisha yako. Una ndoto, maono na matamanio yako; ndiyo muda wenyewe sasa. Kesho ukishakuwa na familia; ulichokifanya na kukijenga leo ndiyo kitakuja kukusaidia huko mbeleni. Unaweza ukaja kulazimika kuacha kazi/biashara, kwa sababu ya familia. Ongea thamani kwenye maisha yako sasa...
Above all; ukishaolewa, mnaanza kuishi maono ya mume sio ya kwako tena. Atalitimiza kusudi lake, huku wewe ukiwa msaidizi wake mkuu. Mchungaji wangu alikuwa anatusisitiza sana tupambane angali tukiwa mabinti; kuna muda ukiwa na watoto hata muda wa kuomba vizuri huupati. Hata kuombea watoto wako, waombee kuanzia leo kabla hata hawajaja. Akiba yake itakusaidia sisi utakapopigwa na hata hiyo nguvu ya kumuombea huyo mtoto ukaikosa.
Alikuwa anatuambia. Kuna aina 3 za wanawake waliofanikiwa
1. Ambao hawajaolewa
2. W alioachika/kufiwa.
3. Waliofanikiwa kabla hawajaolewa
To be continued.....
TobaaππPole mbona hukuniambia unaumwa nikuombee? Hiyo roho inayokusuta acha kuisikiliza halafu pale nimehama ukijifanya kuja kimya kimya ndio utajua hujui[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na ndugu zangu inakuwaje sasa?Hahah kibali utakuwa nacho peke yako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] poleeTobaa[emoji38][emoji23]
Nilitaka nipite kimyakimya j5,unikute tu huyo nimefika.
Hahahaha....atafikia/lala kwangu[emoji3]vipi umeisha mfanyia booking ya hotel Kama tulivyokubaliana kwenye kikao cha asubuhi [emoji16][emoji16][emoji16]
Sasa umehamia wapi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] polee
π€£π€£π€£ Hapana kweli.
Inakuwaje sis darling?Mweeh usiombe sasa last born wa kiume, akaoa binti first born mmmh
Home tukienda sisi ndio wenye nyumba[emoji23][emoji23]Woyoooo[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Na Eli ni last born[emoji7]
Mbona mtakoma humu ndani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Baada ya siku ya kaisari kwisha.. tunachapa uji wa watoto.. na kwenda kulalaaaa ππππUmekula vitu vyenye afya sanaππΏππΏ
Wivu wanini sasa nawewe kwa upambe hahaha!!Namuaminia T 1990 ELY .. lazima mahondaw afurahie.. πππ.. usimuonee tu wivu
πππππ... wivu tuuu, atakavyo ku handle.. kipindi chote utacho muhitaji..Wivu wanini sasa nawewe kwa upambe hahaha!!
aseee.. yaaani na maandalizi yote ambayo umeandaliwa waaanza tukwepa jamani πππHaha ratiba ilivo tight sasa ila Naamini walau nitasalimiana namkuu Ely
Kumuhitaji tena doh!! Mnatia pambe mpaka mwenyeji anaeza ahirisha mkarimu mgeni! !πππππ... wivu tuuu, atakavyo ku handle.. kipindi chote utacho muhitaji..
Jamani.. mapendo. daima, daima. mapendo huo ni upendo na ukarimu wa kisukuma msiwaze maengine ππKumuhitaji tena doh!! Mnatia pambe mpaka mwenyeji anaeza ahirisha mkarimu mgeni! !
Hahaha.. mngejua nipo na familia nzima msingesema! Tutasalimiana dakika chache kama jf family!πππππ... wivu tuuu, atakavyo ku handle.. kipindi chote utacho muhitaji..