Selfika na JF: Snap it. Show it

Mungu akikupa nafasi ya kutenda jambo lililondani ya uwezo wako kwa yeyote anaehitaji msaada usiipoteze.
Watu wanateseka na vingi mioyoni mwao,na hawani wanao waamini kuwaambia.
Mungu awapunguzie adhabu wale wote waliokatisha uhai wao kwa sababu yeyote ile.
 
Si haijawahi kujukikana huwa mnapenda nini haswa au ninini haswa mnataka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…