Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

.
20220108_130520.jpg
 
Ukiingia jukwaa la siasa kuna mtu atakukera tu
Sipendi siasa wala kujibishana Na mtu Na ndio maana hunikuti nikisema chochote unaweza kujua sipitiagi hayo majukwaa ee😁😁nayapitia Kwa ukaribu mkubwa mno lakini kimya kimya nikiguswa sana nitalike tu.

Ubishi kama wa Saint Anne aise sijawahi kubarikiwa nao😀😀
 
Back
Top Bottom