Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Utukufu na heshima
Zote ni zako wewe
Wastahili
Wastahili
Uliacha enzi yako
Na mamlaka yako Mbinguni
Ukashuka kuniokoa
Wastahili.

Wastahili
Wastahili
Wastahili
Wastahili

Unaweza
Unaweza
Unaweza
Unaweza.

Halleluya
Halleluya
Halleluya
Halleluya
 
Uwiii !!!

View attachment 2072135

Kumbe mziki wa Covid sio wa kitoto aisee. Juzi usiku nilifikiri this is it. I am done on this planet lakini Mungu si Athumani aisee jua likachomoza salama

Ulikuwa ni mwendo wa ku-monitor presha, kiwango cha Oksijeni na joto la mwili - indicators 3 za muhimu sana kwa mgonjwa wa Covid.
View attachment 2072137

Mwili bado haujakaa sawa 100% ila ni mwendo wa malimau na tangawizi kwa sana. Nimeweza hata kwenda jogging leo. Mungu ni mwema aisee...Maisha...Uhai!
View attachment 2072141
Pole sana
 
Pole mzee,, usiache kwenda jogging
 
Kapuku namalizia siku
20211229_114255.jpg
 
Ukawe mzima Mtumishi mwema.

Back
Top Bottom