cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,172
Mie sina kazi mdogo wangu nambwelambwela tu mjini hapa![]()





jaman mie had nimejiskua aibu, sio vizuri mommah ulivofanya mweee.Inategemea na mtoto husika, mtoto mwingne yeye hata akiguswa tyuuh anajua nimechomwa sindano, haijalishi imeuma au haijauma.Utotoni watoto huwa walikuwa tunachoma sindano, kuna Dr flani akikuchoma husikii hata kama sindano imengia na kuna Dr mwingine unajua na huenda hata mkono ukavimba.. ma dr tupo tofauti![]()







😂😂😂😂😂Inategemea na mtoto husika, mtoto mwingne yeye hata akiguswa tyuuh anajua nimechomwa sindano, haijalishi imeuma au haijauma.![]()
Kumbe ndio maana basi sasa nimeelewa nini ni nini na kwanini?! Heko kwako Karmakazi maalumu, mtu maalumu.. kitambulisho kina sign ya mtu maalumu
mzito huyo.. 😀😀😀Kumbe ndio maana basi sasa nimeelewa nini ni nini na kwanini?! Heko kwako Karma
😂😂😂😂😂😂.. safi sanaaa ndio kazi ya mwili kupokea vitu kama hivijumanne ya protiniView attachment 2068292
Mapema.. safi sanaaa ndio kazi ya mwili kupokea vitu kama hivi
muhimu ma emergency huwa yanatokea 😂😂😂Mapema
Wazeee wa kimasiaharamuhimu ma emergency huwa yanatokea![]()
umeona, muhimu mda wote kuwa poa kuna zingine zinatokea nyuma ya washroom.. bila ajizi unaachia bomba mtoto acheze na koki 😂😂😂Wazeee wa kimasiahara
WachaaaMmmmmh😋😋😋 leo mambo iko humu! Guess what, thats my ideal size girrllll😍
Chap Kwa haraka nakuambukiza.mbona banned tenaNina matumizi nazo hizo, huwa naziita “starter pack” hahahah niambukize tu huo naishi nao!
Ni kwikwiHizi stori zaleo asee!!
Tunampango wa kuweka majabaliNaona mnaniweka mewa ili iwe nzito 😂😂😂
Sikulaumu ni uchovu umezidi🤣🤣Hapa nimechoka na jambo jema leo ni jumatatu ingekuwa jana sijui ingekuwa, maana nilipo na kidimbwi na shwaaaap.. unachafua ubaon😁😁😁