Barn
JF-Expert Member
- Feb 28, 2017
- 2,733
- 4,050
Umepata mkuu, tukuyu hapoGreen city
Umepata mkuu, tukuyu hapoGreen city
Tupo wengi , mimi nisipoenda kwenye maombi napotea njia kabisa .Mimi nimezidi.
Halafu ni uzembe tu wala hakuna sababu.
Kumbe nimepatiaUmepata mkuu, tukuyu hapo
AmenTupo wengi , mimi nisipoenda kwenye maombi napotea njia kabisa . Hapa Pastor katoka kuniuliza kama nimewahi kufunga toka mwaka ulivyoanza , nimejishtukia sana .
Eeh Roho mtakatifu utuongoze kuacha njia zisizofaa , tufate yaliyo mema tu .
Hebu hiyo PC onesha vizuri lect, nimetokea kuielewa. [emoji23][emoji23][emoji23]
Huna class leo?[emoji4]Hebu hiyo PC onesha vizuri lect, nimetokea kuielewa. [emoji23][emoji23][emoji23]
Nimetoka Co mda mbna, ila baadae pia nna class.Huna class leo?[emoji4]
Unaifananisha naya Lecturer wako eeh?[emoji28]Nimetoka Co mda mbna, ila baadae pia nna class.
Hebu weka picha ya PC hiyo. [emoji7][emoji7]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka hapa mie. Hakna viumbe nawaogopa km lecturers hasa wanaonifundisha, na sitaki hata mazoea nao labda awe wa kike ndo ntamzoea kidg tena kwa mipaka.Unaifananisha naya Lecturer wako eeh?[emoji28]
Usiwaogope ni watu wa kawaida sana. Kama umeipenda nakutumia specs zake[emoji4][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka hapa mie. Hakna viumbe nawaogopa km lecturers hasa wanaonifundisha, na sitaki hata mazoea nao labda awe wa kike ndo ntamzoea kidg tena kwa mipaka.
Hebu weka picha kubwa ya PC hiyo, mie nimetokea kuipenda, pengine naweza enda nunua. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie mgumu ktk uelewa wa specs, weka full tyuuh ya hyo PC jomoneee, mbna km kuna kitu unahis? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usiwaogope ni watu wa kawaida sana. Kama umeipenda nakutumia specs zake[emoji4]
Nahisi kuna jambo zaidi ya PC[emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie mgumu ktk uelewa wa specs, weka full tyuuh ya hyo PC jomoneee, mbna km kuna kitu unahis? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Weka tyuuh bhana nione picha.
Sasa weka PC hiyo bhana, sasa unaogopa nn wee Lect,Nahisi kuna jambo zaidi ya PC[emoji848]
TafadhaliAf anakuja canine mmoja anasema ni karatasi tu[emoji57][emoji57]View attachment 2068819
hahaha anko job.kajisahau khs mhimili uliojichimbia mizizi nguvu yakeDuh mwendo wa Ndugai sasa[emoji3]