Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi nakataa hakuna kimasihara kwenye kupiga game.

Mpaka sasa umeshaanza kuuchafua
🙄🙄🙄🙄 Jamani nimechafuaje leo nimeshinda chumbani, nimetoka nimeenda kula, nimemaliza kula nimepita kimtaa flani hapa napata tangawizi narudi chumbani.. labda atokee kuku wa kienyeji aniingize jaribuni
 
20220104_182731.jpg
 
Back
Top Bottom