Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,988
- 177,222
Umeiona???Michepuko ndio mbaya!
Umeiona???Michepuko ndio mbaya!
UnanihubiriaNa route zote zile unazopiga road!
Hivi kwa mfano ukaokoka..utapungukiwa nini?


Hakuna ulichosahau!Tena hata shaka sina
Nikafanyaje
Nimesahau nini huko
Sikuhubirii,Unanihubiria
Acha fujo![]()
Nimeona lakini sio kwa kufuta hivyoUmeiona???
Hahahaaa..kama umeona furesh basi!!!Nimeona lakini sio kwa kufuta hivyo
Shetani huyu huyuHakuna ulichosahau!
Kweli shetani mbaya.

Ndio nini hivyo night yote hivi kuvaa jinsi nzito hivyo aiseeUmeiona???


Hio nilipiga mchana doh kulala na jeans mimi hapana aisee!Ndio nini hivyo night yote hivi kuvaa jinsi nzito hivyo aisee![]()
Nimeona ila nimeshindwa kusevu, mtu mbad weweHahahaaa..kama umeona furesh basi!!!
Washafuta picha hukoSikuhubirii,
Nakuuliza.
Saa ile umetuambia ni live ndio maanaHio nilipiga mchana doh kulala na jeans mimi hapana aisee!
Nimeona ila nimeshindwa kusevu, mtu mbad wewe
Watu wabaya sekunde kumi Isha futwaWashafuta picha huko
Ebu tupate break kidogo
🤣🤣🤣🤣🤣Washafuta picha huko
Ebu tupate break kidogo
Yawezekana anacheza na akili yako bila wewe kujua.Shetani huyu huyu
Ulishamuona![]()
Break ya nini na picha ushaikosa!Washafuta picha huko
Ebu tupate break kidogo
Si kupata uhondo kamili sasa kitu kinafutwa chini ya sekunde 30 na unajua akili ya binadamu unapoona picha mpaka iitafsiri irudishe majibu ndio upate la kusema inachukua 2 minuteHaha usevu yanini sasa doh!!