Yaani nimepata awamu zote 2,japo awamu ya kwanza ile nikataka kukuquote nikaona quote haiquotiki..kumbe ukafuta!
Awamu ya pili nikaquote ili wakereketwa wa picha wakiona quote yangu wapate kale kafeeling ka kupitwa
Wamshukuru tu keeper wao na washukuru katikati tulikuwa wabovu.
Hata hivyo nafasi ya pili tunaenda kukaa sisi maana hao chelsea wanaenda kutandikwa na kipara.