Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Dunia hii haina usawa,
Nipo najiuliza hesabu ndogo moja kujumlisha moja ni kitu gani sipati majibu[emoji23][emoji23][emoji23]..au nipachike log,nisome kwenye f.table!

Walioelewa tusaidie basi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787], well tetesi sio nzuri kuhusu mama
Nafkiri umenielewa [emoji17][emoji17][emoji17]
Na kwenye social networks zake amepost last 5 days hajaonekana tena
 
97CF5A09-1734-45D2-9DD9-3FD693EA0AFA.jpeg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787], well tetesi sio nzuri kuhusu mama
Nafkiri umenielewa [emoji17][emoji17][emoji17]
Na kwenye social networks zake amepost last 5 days hajaonekana tena
Hesabu yako ilinipiga chenga kabisa ,nikajiona kilaza.

Mungu amfanyie wepesi awe salama [emoji120]
Lakini juzi mbona amehutubia na alionekana fit kabisa mubashara.
 
Back
Top Bottom