Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 12,890
- 37,854
Ila tom na Jerry cartoon inayonipotezea sana bando yaaniView attachment 2064995
Inataka kufanana na hii
Ila tom na Jerry cartoon inayonipotezea sana bando yaaniView attachment 2064995
Inataka kufanana na hii
Mazoezi broAhsante [emoji120][emoji120][emoji120] kipindi nipo shule nilikuwa mchoraji kinara...kadri siku zinavyokwenda mkono unakuwa mzito sahv...tatizo umri.
Happy birthay to you! Mungu akujaalie umri mrefu, akuzidishie pale palipo na upungufu na akujaalie kila hitaji la moyo wako [emoji120][emoji120][emoji120]Nilikua nataka unichoree moja hivi, lakini hongera bro imejaliwa kipaji sio kila mtu ana kipaji aisee
Usalama mkuu! Hapa tukachitchat tu siku iende sasa kuweka wazi vitu zako kiivo sio poa!Sidhani, kwa inocent hapaswi kuogopa!
True, nafanya sana mazoezi lakini mazoezi niyafanyayo yako kinyume na ishu nzima ya uchoraji.Mazoezi bro
Sio mazoezi ya mwili bali mazoezi ya kipaji chako, unaweza ukawa nacho kweli lakini kama haukufanyika mazoezi utakua mzito tu, sio hautafanya kwa perfect la ila uzito tu.True, nafanya sana mazoezi lakini mazoezi niyafanyayo yako kinyume na ishu nzima ya uchoraji.
Ila sio picha bwana, mbona insta na fb tunajiachia why hapa!Usalama mkuu! Hapa tukachitchat tu siku iende sasa kuweka wazi vitu zako kiivo sio poa!
[emoji2305][emoji2305][emoji2305]Hornet umenitupa rafiki yangu!! [emoji2365][emoji2365][emoji2365]View attachment 2065007
[emoji134]
[emoji2305][emoji2305][emoji2305]Hornet umenitupa rafiki yangu!! [emoji2365][emoji2365][emoji2365]
Napenda kucha zilizopakwa rangi sana, heri ya mwaka mpyaView attachment 2065007
[emoji134]
Nisubiri nakuja...tafadhali usiondoke kabla ya kukutana na bwana Pepsi [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]Nipo ng’ambo ya bahari huku
Naota jua..
Karibu sana
Napenda kucha zilizopakwa rangi sana, heri ya mwaka mpya
Nisubiri nakuja...tafadhali usiondoke kabla ya kukutana na bwana Pepsi [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Yaani nakupenda sana,lakini ukininunulia kret,nitakupenda zaidi ya sana[emoji7]Kumbe hunipendi wakati tumeagizwa kupendana?! Ukija Dar nitafute!![emoji125][emoji125][emoji125]
Wee hapa tupo tofauti mkuu kule kuna uhalisia hapa ufeki sana..humu kasoro miye tu ndio wakuja chokambaya mlobaki wote kila mtu tajiri wa mjiniiii ana pesa magari ! Humu watu tupo singo japo tumeolewa,, tuna watoto humu hatujazaa babuu,,,👌 hatuna wake/ Waume huku tunaishi nao hahaha si ya kucheka haya!!Amna bwana watu wa kule na wahuku ni wale wale tu kama ulivyo wewe kule haupo tofauti na wa hapa